Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Naomba ufike kazin muda huu kabla sijakuandalia barua ya onyo


From your boss
 
Tafadhali naomba kujua jinsia yako.
 
hata mm hiyo situation inanitokeaga sana uwa nalalaga tuu
 
Kufanya kazi ni lazima na ndio itakua hivyo Maisha yote. Hii ni Mungu mwenyewe kaiweka hivyo tena kasisitiza Na Asiyefanya Kazi Na Asile. Kimsingi wewe leo hutakiwi kula kwani hujafanya kazi. Kazi ni Lazima, hapa itatofautiana tu kati ya kazi ya kuajiliwa au kujiajiri. ya kutumia Nguvu zaidi au Akiri zaidi. Lakini Lazima Tufanye Kazi tena kwa Bidii hii ndio hali ya Dunia mpaka Mwisho.
 
Asiyefanya kazi, asile! Leo jipe pia wasaa mzuri wa kushinda na njaa, ili uone faida mojawapo ya kufanya hiyo kazi.
 
Hela Kwanza au kitabu Kwanza?
 
Nami nimekuwa nikipitia changamoto kama zako mleta thread!!
Kufanya kazi kwa kuajiliwa ni zaid ya utumwq ila waafrica tumejiwekea mkataba kuwa lazima tuajiliwe ili tuweze kuishi.
Niliacha kazi mwaka jana mwezi wa tisa baada ya kuwa na muendelezo wa matukio kama ya kwako.

Mpaka leo sijawahi kujutia why niliacha kazi.
 
Government or private sector????
 
Asiyefanya kazi, asile! Leo jipe pia wasaa mzuri wa kushinda na njaa, ili uone faida mojawapo ya kufanya hiyo kazi.
Sijaenda kazi na Nimekula, Kijana nature ya kazi yako inaoneaha siku usipoenda kazi basi hyo siku unapiga deshi
 
Hahahah! Uwiii nimecheka. Ndugu kazi ni maisha iwe ya kuajiriwa au ya kujiajiri. Kujiajiri pia sio rahisi, kama uko ambitious enough kuna siku utafanya kazi hata siku 3 mfululizo usiku na mchana bila kupumzika sababu you are pushing your own na hautaki ukwame. Advantage ya kujiajiri ni kuwa unaweza ukafika stage pesa ikakufanyia kazi na wewe ukastay indoors siku nzima, Changamoto ni kuifikia hiyo stage hiyo!!!!

Yote kwa yote kila mtu lazima afanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…