Isikuumize ndugu yangu, hii mwendelezo tu mada mbalimbli dhidi ya Uislamu.Kwa sababu ndege ni huduma muhimu ya msingi kwa watu WOTE. Ndege zinatumika kusafirusha madaktari bingwa kwa haraka kwenda kutibu ndugu zao huko mikoani na kuwaleta Muhimbili.
Kwa sababu uwanja wa ndege ni eneo la kiusalama pia hivyo huwa unawekwa kimkakati.
Kwa sababu pia uwanja wa ndege unatumika hadi na matapeli wa kidini kusambaza porojo zao.
Isikuumize ndugu yangu, hii mwendelezo tu mada mbalimbli dhidi ya Uislamu.
Nimependa ulivyoanza "Muislamu kindaki ndaki"Mimi ni muislamu kindaki ndaki
Lakini
Napinga Sana matumizi yasiyo sahihi ya vipasa sauti,tena nakereka Sana, vipasa sauti viwe Kwa AJILI ya adhana Tu kuita watu misikini lakini baada ya hapo zitumike spika za ndani ya msikiti,sioni mantiki ya kuwa bughuzi wengine.
Mtume amesisitiza Sana juu ya kuwapenda majirani zetu,sasa kama waislamu Wana wakera majirani Kwa vipasa sauti vyao je hatuoni hapo tunafanya makosa?
Kuna baadhi ya misikiti mpaka raha utasikia adhana Tu baada ya hapo kimya.
Nilisha weka Nia ya kuja na Uzi juu hili panapo majaliwa inshallah
Wakati mwingine upunguze upumbavu mzee na wakristo wakisema hii nchi ni ya kikristo kwa sababu wanafanya wanavyotakaSi kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.
Tanzania ni nchi ya kiislamu ndio maana tunafanya tunavyopenda kwa mujibu wa dini yetu tena kwa uhuru wala hakuna anayetusumbua.
Dini nayo ni huduma ya umma, inasaidia kupunguza watoto wa mtaani, Panya road, kupunguza watu walio kosa malezi mazuri.Kwa sababu ndege ni huduma muhimu ya msingi kwa watu WOTE. Ndege zinatumika kusafirusha madaktari bingwa kwa haraka kwenda kutibu ndugu zao huko mikoani na kuwaleta Muhimbili.
Kwa sababu uwanja wa ndege ni eneo la kiusalama pia hivyo huwa unawekwa kimkakati.
Kwa sababu pia uwanja wa ndege unatumika hadi na matapeli wa kidini kusambaza porojo zao.
Ndio maana kuna Uzi wangu huu "Hivi humu kuna great thinkers au...?"Nimependa ulivyoanza "Muislamu kindaki ndaki"
Sawa sisi ndugu zako tumekusikia.
Lakini wengi wa hawa wasiokuwa Waislamu wanaoleta mada mfano wa hii huwa wanazileta kishabiki badala ya kuwa waadalifu.
Ulichokisema ni sahihi, lakini hata suala la kuwa baadhi ya misikiti hawafanyi hivyo, au kuwa jambo hilo halifanywi kila siku haikutosha kwa mleta mada kuona kuwa ni jambo tu limetokea mara moja na lakupita.
Anasema usiku wa jana hakulala hivyo kabla ya jana alikuwa akilala wapi? au hapo anapoishi amehamia jana? sasa kukosa usingizi siku moja ndio uje uanzishe Uzi?
Hivyo kero ya siku moja ndio imefuta hizo siku zingine zoote?
Hivyo japo jana alikerwa na hili jambo, lakini sidhani kama limefikia hatua ya kuwa ni kero kwake kiasi hicho hadi kulaumu Waislamu wote, labda kama anajingine.
Eti" naandika kwa masikitiko makubwa" kwa kukosa usingizi siku moja.
Dini nayo ni huduma ya umma, inasaidia kupunguza watoto wa mtaani, Panya road, kupunguza watu walio kosa malezi mazuri.
Kupunguza watoto, wasiomjua baba yao, hivyo kukosa kuwa na maadili mema, kama kuna sehemu nimekugusa, samahani.
Leta mchango wako na wewe usikae bureSawa, na wa makanisa wanaoabudu usiku kucha watumie nini?
Duuuh [emoji15][emoji4]Yaani dini zimekuwa fujo sana, maana watu wanaoabudu katika hizo nyumba wanafikiri kwamba wako sahihi kumbe wanaharibu mazingira kwa watu wengine,
Waalimu na mafarisayo ndiyo kazi yao kujifanya wanamjuwa Mungu wakati wanafuga majini kama paka.
Ulaya huruhusiwi kupiga keleleUchafuzi wa hali ya hewa kwa mgongo wa dini bado ni tatizo sana Tanzania. Hua najiuliza hizi misikiti haiwezi kuishi bila vipaza sauti? Hivi hata huko ulaya ni mavipaza sauti tu?
Nadhani ifike mahala watu wafundishwe panctuality, nina boss wangu ni muislamu, jamaa nadhani hahitaji kipaza sauti, yuko so panctual, muda ukikaribia tu jamaa ataomba radhi ya udhulu na kuondoka, swala zote.
Sasa watu wote wakiwa hivyo hizi kelele hazitakuwepo. Hata makanisa yatumie sound proof. Kuna kanisa niko nalo hapa jirani, siku ya jumapili ni balaa tupu.
Hivi vitu vile regulated.
Sasa hapo umejibu nini?Hata wewe utapita lkn kanisa litasimama mpka mwisho. Jumapili njema
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Hivi miskiti na makanisa ni nyumba zipi za ibada zinapiga kelele mitaani?Uchafuzi wa hali ya hewa kwa mgongo wa dini bado ni tatizo sana Tanzania. Hua najiuliza hizi misikiti haiwezi kuishi bila vipaza sauti? Hivi hata huko ulaya ni mavipaza sauti tu?
Nadhani ifike mahala watu wafundishwe panctuality, nina boss wangu ni muislamu, jamaa nadhani hahitaji kipaza sauti, yuko so panctual, muda ukikaribia tu jamaa ataomba radhi ya udhulu na kuondoka, swala zote.
Sasa watu wote wakiwa hivyo hizi kelele hazitakuwepo. Hata makanisa yatumie sound proof. Kuna kanisa niko nalo hapa jirani, siku ya jumapili ni balaa tupu.n
Hivi vitu vile regulated.
YESU/Yesu lakini si yesu maana huyo ni wamchongo, nakusema kimya kimya ni nyumbani kwako, hamwezi kukutana kanisani halafu ikawa kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa kuchekeshoKwa wakristo yesu alisema wasali kimya kimya baba aliyesirini anawasikia sasa huu utaratibu wa kelele sjui ulitoka kwa nani..! wakat mtoa muongozo alishasema ukitaka kusal tafuta faragha.
Leo ni siku ya Bwana sihitaji mabishano ya kidini ila jiangalie uzanipo umesimama usije ukaanguka.Sasa hapo umejibu nini?
Rudia tena kusoma maswali kwa ufasaha kisha unijibu swali 1 baada ya jingine.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulaya, hawana magereza sabubu huko watu hawafanyi makosa, ila sasa juzijuiz kipindi hiki cha fainali za kombe la Dunia, kuna mchezaji amelazimika kurudi nyumbani, baada ya wezi kuvunja nyumba yake, na kuiba.Nchi hii waliojaa magerazani 99% ni watu wenye dini, wadhulumaji na mafisadi wakubwa ni watu wenye dini, wanaobambikia watu kesi ni watu wenye dini, wapiga dili na wakwepa kodi ni watu wenye dini.
China na nchi nyingi za Ulaya kiwango cha dini ni kidogo zaidi kuliko sehemu nyingine duniani ila ni sehemu zenye ustaarabu sana.
Shetani yupo mzigoni, mtu kanisani ma speker yanapiga mziki mnene mtu analala na kukoroma kabisa mpaka anaota na ndoto, lakini nyumbani afungue radio hata kisauti cha chini utasikia kelele sipati usingizi [emoji3] yeye anapata usingizi kukiwa na sauti za mbwa, paka na bundi ha ha haWewe hukuwa na usingizi, jiulize anayesinzia night club na mziki wote unaopigwa
Bora hata hizo night clubs zinafuata kanuni za kuweka sound proof. The rest wanapiga tu makelele na kubughudhi watu wanaohitaji utulivu nyakati za usiku.Kwahiyo tupambanishe Night club, na majengo ya ibada.
Hizi hoja zote nimeshawahi kukujibu kwa mapana na marefu hakuna jipya utakaloleta maana halipo.Ndio zenu kila mkitajiwa hayo maujinga yenu mnakazania "chuki", matendo yenu ndio chukizo, mnakera kishenzi yaani, mara mlazimishe watu, mara mkate watu vichwa, mara mpigishie watu makelele ya kiarabu....mumejawa na vituko tangu enzi zile za huyo mwarabu wenu aliyekua anagegeda katoto ka miaka 9.
Kila mtu anazungumza kutokana na uhalisia wake mkuu, kwa mujibu wa dini yetu hapa tanzania kumequalify kuwa nchi ya kiislamu 100%, sasa ukisema ukasirike kwa kusikia hivyo mbona utakufa kabla ya siku mkuu.Wakati mwingine upunguze upumbavu mzee na wakristo wakisema hii nchi ni ya kikristo kwa sababu wanafanya wanavyotaka
Hii ni nchi ambayo Haina dini
Hiyo Chrislam unayosema ni hii au nyingine?Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!
Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis