Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Kwa sababu ndege ni huduma muhimu ya msingi kwa watu WOTE. Ndege zinatumika kusafirusha madaktari bingwa kwa haraka kwenda kutibu ndugu zao huko mikoani na kuwaleta Muhimbili.
Kwa sababu uwanja wa ndege ni eneo la kiusalama pia hivyo huwa unawekwa kimkakati.
Kwa sababu pia uwanja wa ndege unatumika hadi na matapeli wa kidini kusambaza porojo zao.
Isikuumize ndugu yangu, hii mwendelezo tu mada mbalimbli dhidi ya Uislamu.
 
Mimi ni muislamu kindaki ndaki

Lakini

Napinga Sana matumizi yasiyo sahihi ya vipasa sauti,tena nakereka Sana, vipasa sauti viwe Kwa AJILI ya adhana Tu kuita watu misikini lakini baada ya hapo zitumike spika za ndani ya msikiti,sioni mantiki ya kuwa bughuzi wengine.

Mtume amesisitiza Sana juu ya kuwapenda majirani zetu,sasa kama waislamu Wana wakera majirani Kwa vipasa sauti vyao je hatuoni hapo tunafanya makosa?

Kuna baadhi ya misikiti mpaka raha utasikia adhana Tu baada ya hapo kimya.

Nilisha weka Nia ya kuja na Uzi juu hili panapo majaliwa inshallah
Nimependa ulivyoanza "Muislamu kindaki ndaki"

Sawa sisi ndugu zako tumekusikia.

Lakini wengi wa hawa wasiokuwa Waislamu wanaoleta mada mfano wa hii huwa wanazileta kishabiki badala ya kuwa waadalifu.

Ulichokisema ni sahihi, lakini hata suala la kuwa baadhi ya misikiti hawafanyi hivyo, au kuwa jambo hilo halifanywi kila siku haikutosha kwa mleta mada kuona kuwa ni jambo tu limetokea mara moja na lakupita.

Anasema usiku wa jana hakulala hivyo kabla ya jana alikuwa akilala wapi? au hapo anapoishi amehamia jana? sasa kukosa usingizi siku moja ndio uje uanzishe Uzi?
Hivyo kero ya siku moja ndio imefuta hizo siku zingine zoote?

Hivyo japo jana alikerwa na hili jambo, lakini sidhani kama limefikia hatua ya kuwa ni kero kwake kiasi hicho hadi kulaumu Waislamu wote, labda kama anajingine.

Eti" naandika kwa masikitiko makubwa" kwa kukosa usingizi siku moja.
 
Si kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.
Tanzania ni nchi ya kiislamu ndio maana tunafanya tunavyopenda kwa mujibu wa dini yetu tena kwa uhuru wala hakuna anayetusumbua.
Wakati mwingine upunguze upumbavu mzee na wakristo wakisema hii nchi ni ya kikristo kwa sababu wanafanya wanavyotaka

Hii ni nchi ambayo Haina dini
 
Kwa sababu ndege ni huduma muhimu ya msingi kwa watu WOTE. Ndege zinatumika kusafirusha madaktari bingwa kwa haraka kwenda kutibu ndugu zao huko mikoani na kuwaleta Muhimbili.
Kwa sababu uwanja wa ndege ni eneo la kiusalama pia hivyo huwa unawekwa kimkakati.
Kwa sababu pia uwanja wa ndege unatumika hadi na matapeli wa kidini kusambaza porojo zao.
Dini nayo ni huduma ya umma, inasaidia kupunguza watoto wa mtaani, Panya road, kupunguza watu walio kosa malezi mazuri.

Kupunguza watoto, wasiomjua baba yao, hivyo kukosa kuwa na maadili mema, kama kuna sehemu nimekugusa, samahani.
 
Nimependa ulivyoanza "Muislamu kindaki ndaki"

Sawa sisi ndugu zako tumekusikia.

Lakini wengi wa hawa wasiokuwa Waislamu wanaoleta mada mfano wa hii huwa wanazileta kishabiki badala ya kuwa waadalifu.

Ulichokisema ni sahihi, lakini hata suala la kuwa baadhi ya misikiti hawafanyi hivyo, au kuwa jambo hilo halifanywi kila siku haikutosha kwa mleta mada kuona kuwa ni jambo tu limetokea mara moja na lakupita.

Anasema usiku wa jana hakulala hivyo kabla ya jana alikuwa akilala wapi? au hapo anapoishi amehamia jana? sasa kukosa usingizi siku moja ndio uje uanzishe Uzi?
Hivyo kero ya siku moja ndio imefuta hizo siku zingine zoote?

Hivyo japo jana alikerwa na hili jambo, lakini sidhani kama limefikia hatua ya kuwa ni kero kwake kiasi hicho hadi kulaumu Waislamu wote, labda kama anajingine.

Eti" naandika kwa masikitiko makubwa" kwa kukosa usingizi siku moja.
Ndio maana kuna Uzi wangu huu "Hivi humu kuna great thinkers au...?"

Niligusia kuwa kuna watu ili wapate attention katika nyuzi zao basi lazima Uislamu utukanwe,maana ukigusa kuhusu Uislamu basi lazima upate wasomaji na wachangiaji WA kutosha
 
Nchi hii waliojaa magerazani 99% ni watu wenye dini, wadhulumaji na mafisadi wakubwa ni watu wenye dini, wanaobambikia watu kesi ni watu wenye dini, wapiga dili na wakwepa kodi ni watu wenye dini.

China na nchi nyingi za Ulaya kiwango cha dini ni kidogo zaidi kuliko sehemu nyingine duniani ila ni sehemu zenye ustaarabu sana.
Dini nayo ni huduma ya umma, inasaidia kupunguza watoto wa mtaani, Panya road, kupunguza watu walio kosa malezi mazuri.

Kupunguza watoto, wasiomjua baba yao, hivyo kukosa kuwa na maadili mema, kama kuna sehemu nimekugusa, samahani.
 
Uchafuzi wa hali ya hewa kwa mgongo wa dini bado ni tatizo sana Tanzania. Hua najiuliza hizi misikiti haiwezi kuishi bila vipaza sauti? Hivi hata huko ulaya ni mavipaza sauti tu?

Nadhani ifike mahala watu wafundishwe panctuality, nina boss wangu ni muislamu, jamaa nadhani hahitaji kipaza sauti, yuko so panctual, muda ukikaribia tu jamaa ataomba radhi ya udhulu na kuondoka, swala zote.

Sasa watu wote wakiwa hivyo hizi kelele hazitakuwepo. Hata makanisa yatumie sound proof. Kuna kanisa niko nalo hapa jirani, siku ya jumapili ni balaa tupu.

Hivi vitu vile regulated.
Ulaya huruhusiwi kupiga kelele
 
Uchafuzi wa hali ya hewa kwa mgongo wa dini bado ni tatizo sana Tanzania. Hua najiuliza hizi misikiti haiwezi kuishi bila vipaza sauti? Hivi hata huko ulaya ni mavipaza sauti tu?

Nadhani ifike mahala watu wafundishwe panctuality, nina boss wangu ni muislamu, jamaa nadhani hahitaji kipaza sauti, yuko so panctual, muda ukikaribia tu jamaa ataomba radhi ya udhulu na kuondoka, swala zote.

Sasa watu wote wakiwa hivyo hizi kelele hazitakuwepo. Hata makanisa yatumie sound proof. Kuna kanisa niko nalo hapa jirani, siku ya jumapili ni balaa tupu.n

Hivi vitu vile regulated.
Hivi miskiti na makanisa ni nyumba zipi za ibada zinapiga kelele mitaani?
 
Kwa wakristo yesu alisema wasali kimya kimya baba aliyesirini anawasikia sasa huu utaratibu wa kelele sjui ulitoka kwa nani..! wakat mtoa muongozo alishasema ukitaka kusal tafuta faragha.
YESU/Yesu lakini si yesu maana huyo ni wamchongo, nakusema kimya kimya ni nyumbani kwako, hamwezi kukutana kanisani halafu ikawa kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa kuchekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii waliojaa magerazani 99% ni watu wenye dini, wadhulumaji na mafisadi wakubwa ni watu wenye dini, wanaobambikia watu kesi ni watu wenye dini, wapiga dili na wakwepa kodi ni watu wenye dini.

China na nchi nyingi za Ulaya kiwango cha dini ni kidogo zaidi kuliko sehemu nyingine duniani ila ni sehemu zenye ustaarabu sana.
Kwahiyo ulaya, hawana magereza sabubu huko watu hawafanyi makosa, ila sasa juzijuiz kipindi hiki cha fainali za kombe la Dunia, kuna mchezaji amelazimika kurudi nyumbani, baada ya wezi kuvunja nyumba yake, na kuiba.

Hii tumejua sababu imemtokea mtu maarufu, hatujui yanayowatokea wengine.

Marekani ambako tunalinganisha na ulaya, ni mara ngapi tunasikia matukio ya kiharifu yanayowapata watu maarufu.

Dini zipo kwa ajili ya kusaidia watu, achana na mimi kuwa Muislamu wa kulithi tu.
Nikiwa Muislamu mcha Mungu, nawezaje kuwa mwizi, kibaka, panya road, mwizi wa mali ya umma.
 
Wewe hukuwa na usingizi, jiulize anayesinzia night club na mziki wote unaopigwa
Shetani yupo mzigoni, mtu kanisani ma speker yanapiga mziki mnene mtu analala na kukoroma kabisa mpaka anaota na ndoto, lakini nyumbani afungue radio hata kisauti cha chini utasikia kelele sipati usingizi [emoji3] yeye anapata usingizi kukiwa na sauti za mbwa, paka na bundi ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tupambanishe Night club, na majengo ya ibada.
Bora hata hizo night clubs zinafuata kanuni za kuweka sound proof. The rest wanapiga tu makelele na kubughudhi watu wanaohitaji utulivu nyakati za usiku.

Mimi kama Mkristo, adhana kwangu ni kelele tu. Vivyo hivyo kwa yale makanisa yanayopiga muziki, na kukemea mapepo kwa sauti ya juu nyakati za alfajiri; nayo yanapiga tu kelele.
 
Ndio zenu kila mkitajiwa hayo maujinga yenu mnakazania "chuki", matendo yenu ndio chukizo, mnakera kishenzi yaani, mara mlazimishe watu, mara mkate watu vichwa, mara mpigishie watu makelele ya kiarabu....mumejawa na vituko tangu enzi zile za huyo mwarabu wenu aliyekua anagegeda katoto ka miaka 9.
Hizi hoja zote nimeshawahi kukujibu kwa mapana na marefu hakuna jipya utakaloleta maana halipo.
 
Wakati mwingine upunguze upumbavu mzee na wakristo wakisema hii nchi ni ya kikristo kwa sababu wanafanya wanavyotaka

Hii ni nchi ambayo Haina dini
Kila mtu anazungumza kutokana na uhalisia wake mkuu, kwa mujibu wa dini yetu hapa tanzania kumequalify kuwa nchi ya kiislamu 100%, sasa ukisema ukasirike kwa kusikia hivyo mbona utakufa kabla ya siku mkuu.

Wakati huohuo sisi tunaishi kwa raha maisha matamu bila bughdha na hivi tunakinai kwa tulichoandikiwa basi hatuna lawama na stress.

.الحمد لله على نعمة الإسلام و السّنة
 
Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!

Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Hiyo Chrislam unayosema ni hii au nyingine?
Screenshot_20221218_114434_Chrome.jpg

Back
Top Bottom