Mwanamke hapogwi na mikono wala mateke. Mwanamke anapigwa na mguu wa "tatu".
Kutumia mikono na miguu kuna maanisha mguu wako wa "tatu" hauko na ufanisi wa kutosha.
Inamaana wwe hujuwi kuwa Mwanamke pia hubadilika kutokana na Mazingira!? Unaweza owa Mwanamke mpole sana,but along the way akaanza kubadilika hadi Mwanaume unajiiuliza hivi huyu Mwanamke ana mashetani au nini!?Sasa hapo tatizo lipo kwa mwanaume.
Before you get attached to a particular female, you gotta make sure you vet extensively.
If you attract wapiga kelele, tatizo liko kwako nao sie yeye.
Baba wako wa aina nyingi,usikariri, maana kuna wa baba wapole sana hadi Mama na Watoto wanamkalia kichwani,alafu kuna akina baba ngoma ngumu,hao wakisema tu fyoko kila mtu kimya!!I feel sorry for those who refers to you as a father.
I feel for their future too.
Wwe lazima utakuwa umeowa demu wa kitasha! Mademu wa Kiswahili huwajui vizuri!A mans inability to persue multiple sexual patners is the reason why many men resort into violence, thinking that they can negotiate desire through traditional way.
Mbona unataka kumuharibia mwenzio,anataka kunguo mlupo humu! Wwe hujui kua English ni mtama kwa Watoto!!?kumbe Kiswahili unakijua ?
hahahaha sawa, ila najua wengi wanataka chapaa hata ukiongea kisukuma shauri yakoMbona unataka kumuharibia mwenzio,anataka kunguo mlupo humu! Wwe hujui kua English ni mtama kwa Watoto!!?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyo na wapigaji wengi mguu wao wa tatu haufanyi kazi vizuri yani magoigoi, teh teh tehMwanamke hapogwi na mikono wala mateke. Mwanamke anapigwa na mguu wa "tatu".
Kutumia mikono na miguu kuna maanisha mguu wako wa "tatu" hauko na ufanisi wa kutosha.
unachekesha sana mkuu. yaani mkae mnashindana kwenye ndoa kisa mmefunga ndoaUnajua kinachofanya ndoa kuvunjika? Kama kashindwa kukusikiliza haikupi haki ya kumrudisha kwao,labda kama mlikua mnaishi kishkaji sawa,ila kama mmekula kiapo ujue huo mzigo wako na utakufa nao.
Ukiwa na wazo hilo akili amezingua hamsikizani utamfanyaje?
ushampiga kama mara ngapi hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata mimi nilisemaga kabla sijaoa,ila nimeoa kumbe ni tofauti. Kwanza mwanamke akiolewa anajua tayari huwez muacha kiraisi kwa hiyo jeuri lazma itakuepo,kama ukiwa dhaifu utakuwa chini yake mida si mrefu.
Diplomasia ina mwisho wake ndani asikwambie mtu,labda kwa michepuko ndio kufukuzana kawaida
kwa hiyo kipigo kinasaidiaMimi nilishampiga kwa Vichwa kama kondoo...,hajawahi rudia tena hizo kauli za nipige...,anakimbiaga/anakaa kimya akiona kuna dalili za kupigwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hajarudia tena.....
Imeisha hiyo na wapigaji wengi mguu wao wa tatu haufanyi kazi vizuri yani magoigoi, teh teh teh
"Nitazame na hayo macho yako kama na wewe ni mwanamke kweli "[emoji3526]Hii kauli ya “nipige kama wewe mwanaume kweli” imewaponza wengi sana Ila wanawake sisi wengi wetu ni vivuruge
"Nitazame na hayo macho yako kama na wewe ni mwanamke kweli "[emoji3526]
Cheers to your thoughtsHuwezi kulazimisha mapenzi ya dhati kutoka kwa mwanamke kwa kumpiga.
Mapenzi ya dhati ya mwanamke kwa mwanaume yanathibitika kwa utii na unyenyekecu wake kwako.
Kama hafanyi hayo inamaa kuna pengine anako yafanya.
Unachotakiwa kufanya ni kutafuta mwanamke mwingine regardless umeoa au la.
@mahondaw aje alete ushahidi[emoji28] " Ati nipige kama wewe ni mwanaume kweli" [emoji28]
Inshort isho nao kwa akili na mwanamke hapigwi...
Mzee kila nikikuona nakushukuru kwa kile kitabu (the rational male)A mans inability to persue multiple sexual patners is the reason why many men resort into violence, thinking that they can negotiate desire through traditional way.
Furaha yangu ni kwamba nimebadirisha mtazamo wa mtu mmoja kuhusu intergender dynamics.Mzee kila nikikuona nakushukuru kwa kile kitabu (the rational male)
Kuna nshomile mmoja nimemnyoosha kwa dread games kakaa mstari sasa.
Married game is arguably tighter than single & dating game