Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Nimesema goli 3

Yaan namaanisha 3-0 au 4-0 au 5-0 hapo nipigwe ban ikiwa 3-1 hapo Simba hajashinda 3 ameshinda 2 maana amefungwa 1 na hapo aggregate itasoma 3-3 na wale watakua na advantage ya goli 1 la ugenini kwa hio watapita wao
Nawapongeza Mods kwa hili, naomba iwe miaka mitatu kweli na sio vinginevyo
 
Sidhani kama Mods wamempa muda wa kuomba maji ya kunywa huyu ndugu mpigwa ban 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…