Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Basi edit uzi wako. Andika Simba akishinda kwa tofauti ya magoli 3 sio akishinda magoli 3
Nimesema Simba ashinde 3-0 unanielewa sio tofauti na hapo ninachojua mimi Simba anakufa goli 1 kwa sifuri
 
Uto bana
 
Boqin Active Moderator muishi na huu uzi. Bado goli moja hii raia ile ban ya 3yrs
 
Mkuu Mimi nakuaga kila lakheli jitahidi ufungue account kwa jina lingine maana muda si mrefu itakubidi uwe kwenye BAN.
 
jamaa bado anatamba uraiani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…