Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kama yupo anayehisi nimemkosea na tena ni mwana CCM, basi mjulishe kuwa hio ilikua trailer, mziki Kamili ni kuanzia Kesho! 2025 CCM wajue nitawakera Zaidi. Heri ya mwaka mpya in advanceMimi ni binadamu nisiye mkamilifu, nina mapungufu yangu pia mengi tu.. Mniwie radhi kwa wale ambao tulikwazana hapa na pale
Thanks so much brotherโคโค๐๐พMoja ya watu muhimu ndani ya jamii forums, nadhani wewe ni mmojawao. Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza na kukulinda kwenye safari yako ya maisha hapa duniani. Aendelee kukupa afya njema, na maisha marefu.
Hahahahaha๐ Mimi sitaki ligi๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟKwa wale wote niliowakosea kwa namna moja ama nyingine ktk mwaka 2024 naomba sana muendelee kuwa wavumilivu maana hiyo ilikua ni trela tuu picha kamili litakuja 2025. Be strong.
happy new year2025 in advance Mshana Jr na wadau wote JF,Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia
Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani mwetu.. Hivyo ni vema tukaipa umuhimu mkubwa na wa kipekee
Tulianza salama huu mwaka pamoja na tukiwa na matarajio mengi.. Wenzetu baadhi hawakuweza kumaliza nasi.. Tuwaombee sana!
Kipekee kabisa naomba kuchukua nafasi hii kwa wale wote kwa njia moja ama nyingine waliumizwa na maandishi na maandiko yangu
Kuna wale ambao pia sikuweza kukidhi haja ya matarajio yao katika changamoto mbali mbali walizopitia mwaka huu..
Wengi tuliwasiliana PM na baadhi baadae kwenye mawasiliano ya simu lakini harakati na ubize wa maisha vikanifanya niwe na maahirisho mengi
Kikubwa ninachoweza kusema ni kwamba najali shida ya kila mmoja wenu na daima sikuacha kuwaombea kila nilipopata walau sekunde chache ama dakika chache za kufanya hivyo
Mimi ni binadamu nisiye mkamilifu, nina mapungufu yangu pia mengi tu.. Mniwie radhi kwa wale ambao tulikwazana hapa na pale.. Sina kinyongo wala sina kisasi kwa yeyote yule
Naumaliza mwaka 2024 nikiwa msafi wa roho na mwili na amani tele.. Nimeitafuta njia ya ukamilifu wa kiroho na wokovu wa ndani kwa utulivu na unyenyekevu mkubwa na matokeo yake mazuri nimeyaona
Kwa uzi huu niwatakie heri ya mwaka mpya 2025 masaa si mengi yajayo.. Na tukipewa kibali cha kiroho basi sote tuweze kuumaliza mwaka 2024 kwa amani na furaha na kuuingia mwaka 2025 kwa viwango vilevile
Nawaombea sana!View attachment 3189120
๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ Mshikamano wetu kama members wa JF ( nje ya tofauti zetu za kiitikadi) ndio silaha yetu kuu..happy new year2025 in advance Mshana Jr na wadau wote JF,
kwa Neema na Baraka za Mungu tulikua pamoja2024 kwa mema na changamoto,
na tusonge pamoja kwa umoja kama familia ya JF 2025๐
God bless us all my friends ladies and gentlemen
HakikaAaamen.. Kuna utabiri ambao bado uko valid mpaka sasaView attachment 3189124
Sawa ila mimi Mbowe siwezi kumsamehe hata aje naniTunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia
Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani mwetu.. Hivyo ni vema tukaipa umuhimu mkubwa na wa kipekee
Tulianza salama huu mwaka pamoja na tukiwa na matarajio mengi.. Wenzetu baadhi hawakuweza kumaliza nasi.. Tuwaombee sana!
Kipekee kabisa naomba kuchukua nafasi hii kwa wale wote kwa njia moja ama nyingine waliumizwa na maandishi na maandiko yangu
Kuna wale ambao pia sikuweza kukidhi haja ya matarajio yao katika changamoto mbali mbali walizopitia mwaka huu..
Wengi tuliwasiliana PM na baadhi baadae kwenye mawasiliano ya simu lakini harakati na ubize wa maisha vikanifanya niwe na maahirisho mengi
Kikubwa ninachoweza kusema ni kwamba najali shida ya kila mmoja wenu na daima sikuacha kuwaombea kila nilipopata walau sekunde chache ama dakika chache za kufanya hivyo
Mimi ni binadamu nisiye mkamilifu, nina mapungufu yangu pia mengi tu.. Mniwie radhi kwa wale ambao tulikwazana hapa na pale.. Sina kinyongo wala sina kisasi kwa yeyote yule
Naumaliza mwaka 2024 nikiwa msafi wa roho na mwili na amani tele.. Nimeitafuta njia ya ukamilifu wa kiroho na wokovu wa ndani kwa utulivu na unyenyekevu mkubwa na matokeo yake mazuri nimeyaona
Kwa uzi huu niwatakie heri ya mwaka mpya 2025 masaa si mengi yajayo.. Na tukipewa kibali cha kiroho basi sote tuweze kuumaliza mwaka 2024 kwa amani na furaha na kuuingia mwaka 2025 kwa viwango vilevile
Nawaombea sana!View attachment 3189120
๐ช๐ mshikamano pamoja na upendo ni mambo muhimu sana kama waTanzania na ndugu wa nchi moja licha ya tofauti za mirengo, dini, makabila n.k.๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ Mshikamano wetu kama members wa JF ( nje ya tofauti zetu za kiitikadi) ndio silaha yetu kuu..
Ila next year badilika kidogo mkuu๐
Leo tusiingie sana huko ngoja tutakiane mwaka mpya mwema.. Tutatifuana kule shamrashamra zikiisha๐๐ช๐ mshikamano pamoja na upendo ni mambo muhimu sana kama waTanzania na ndugu wa nchi moja licha ya tofauti za mirengo, dini, makabila n.k.
ni muhimu tukabaki wamoja na wanaheshimiana.
kwenye hilo la mwisho la kubadilika kidogo, dah!๐คฃ
ninayo kazi kubwa kule jimboni kuelekea mjengoni,
Lakini pia iko kazi ingine muhimu zaidi ya kuhakikisha mgombea urasi wa CCM anashinda uchaguzi kwa kishindo, anakamata dola, anaunda serikali na kuongoza nchi kwa awamu nyingine ya miaka mitano 2025-2030.
nadhani naweza kua busy zaidi field kuliko humu jukwaani.
Hata hivyo, nimechukua ushauri na pendekezo lako licha ya kua limenichekesha sana ๐
Asante sana Manyanza nadhani tuna miadi ya kuonana.. Ngoja mwaka upinduke pindu tuone hayo yajayo...Mkuu Mshana Jr Asante sana Mkuu!
Mungu alikuumba kwa ajili ya watu, umekuwa mtu mwenye kujali na kumthamini kila mtu. Mungu azidi kukujenga na kuukuza utu wako wa ndani. Wewe ni mtu unayejali na kuthamini sana watu pamoja na kuwa na mambo mengi lakini bado Umeendelea kuwa msaada mkubwa kwa watu.
๐๐๐ Mkuu upo busy sana na lile jambo nililokushirikisha bado sijafikia mwisho japo muafaka upo na hautekelezwi.
Nikutafute weekend hii basi.
Heri nyingi kwetu sote Kwa Mwaka unaokuja
sawa nimekuelewa ๐คฃLeo tusiingie sana huko ngoja tutakiane mwaka mpya mwema.. Tutatifuana kule shamrashamra zikiisha๐
Huko mjengoni pumzika sana imetosha๐๐ฟ