Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

Asante Sana mkuu mimi binafsi hujanikwaza Bali umenisaidia sehemu jambo muhimu Sana Asante Sana. Kutokana na mitihani nlipitwa na Ile safari uliyoasisi ya China wewe no mtu poa sana boss uishi miaka Tele.
 
Gentleman nilikuwa na miadi ya kuona a na wewe lakini ratiba zimekuwa sio rafiki kwangu. Natumaini mwakani mwezi January tutaonana. 🤣🤣🤣

Nimefurahi kukuona unatia neno kwenye uzi wa Legend Mshana Jr
ni ndugu na rafiki yangu wa muda mrefu sana, hatujuani na wala haujawahi kuonana but hata kabla sijajiunga JF nilikua nasoma mno makala zake, nasaha na mawaidha yake,

mara chache chache tumetofautia kiungwana lakini kwa hoja, na vile vile tumesonga mbele pamoja kwa yale ambayo tumeafikiana. Ni mtu mungwana mno.

For sure nina muheshimu sana,
na infact nawaheshimu na kuwapenda upeo wadau wote wa JF.

Kuhusu kuonana,
kwakweli niko tayari lakini kwa January, sitaki kusema chochote kwa sasa kwani kwa ratiba zangu kuanzia tar1-6 January kila mwaka, hua niko shamba natindua ardhi ya shamba langu binafsi. Na hiyo itategemea kwa wazazi nitamaliza hiyo kazi baada ya siku ngapi kwanza, kutegemea na uzima wa chuma kazi, maana tunapiga kazi usiku na mchana, na wazazi wana viplot vya maana kidogo.

Gentleman,
kwakua tupo humu mara kwa mara, ni muhimu kustuana na kuona uwezekano 🐒
 
Asante Sana mkuu mimi binafsi hujanikwaza Bali umenisaidia sehemu jambo muhimu Sana Asante Sana. Kutokana na mitihani nlipitwa na Ile safari uliyoasisi ya China wewe no mtu poa sana boss uishi miaka Tele.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤❤
 
Back
Top Bottom