Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Huyu mwamba alitisha Sana.Aaamen.. Kuna utabiri ambao bado uko valid mpaka sasaView attachment 3189124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba alitisha Sana.Aaamen.. Kuna utabiri ambao bado uko valid mpaka sasaView attachment 3189124
ni ndugu na rafiki yangu wa muda mrefu sana, hatujuani na wala haujawahi kuonana but hata kabla sijajiunga JF nilikua nasoma mno makala zake, nasaha na mawaidha yake,Gentleman nilikuwa na miadi ya kuona a na wewe lakini ratiba zimekuwa sio rafiki kwangu. Natumaini mwakani mwezi January tutaonana. 🤣🤣🤣
Nimefurahi kukuona unatia neno kwenye uzi wa Legend Mshana Jr