Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Naked truth.Watumiaji wa Samsung, asilimia 80 wanajinunulia na hawaendi na trend la kika toleo kama wale wa Iphone.
Kuna kundi kubwa la watu wa Iphone ni wazee wa kumaintain status, Kila new latest phone wanaitaka, na uchumi unawakataa sasa ndo wapenda vinyeo wanapata fursa hapo.
Any way,
Watu wapate simu kali kwa njia yeyote hile halali 😂
Watu wanatoa .Ni msemo tu wala hauna uhalisia. Nani atoe zaidi ya 2 million kwa ajili ya kiny**
Kwahiyo kiranga anakula junk goodUSA ambapo watu wanakula junk foods napo pa kujisifu. Mtu wa kawaida bila credit card hautoboi
Yeah kabisa mkuuKwahiyo kiranga anakula junk good
Nyie macho madogo kwa ukorofi hamjamboYeah kabisa mkuu
Kuna watu ni washenzi sana na hawajali..it's very possible haya mambo yapoNi msemo tu wala hauna uhalisia. Nani atoe zaidi ya 2 million kwa ajili ya kiny**
Huna ela valentines utafanyaje sasa?HATUNA HELAA
Mmegundua?Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Hii inawezekana! Kuna barbershop moja ukienda wafanyakazi wa pale wote(m&f) wana macho ma3Watumiaji wa Samsung, asilimia 80 wanajinunulia na hawaendi na trend la kika toleo kama wale wa Iphone.
Kuna kundi kubwa la watu wa Iphone ni wazee wa kumaintain status, Kila new latest phone wanaitaka, na uchumi unawakataa sasa ndo wapenda vinyeo wanapata fursa hapo.
Any way,
Watu wapate simu kali kwa njia yeyote hile halali 😂
Wewe ndo umeshindwa kusoma upepo, hiyo comment ni ya mwaka jana sep had leo feb nakosaje mapene ma mtu!Huna ela valentines utafanyaje sasa?
Nikajua hujapata, sasa kwanini wenzio jana wapo kwa Davido wewe upo kitambaa?Wewe ndo umeshindwa kusoma upepo, hiyo comment ni ya mwaka jana sep had leo feb nakosaje mapene ma mtu!
Davido amezeeka siku hizi, siangalii show za kizee!Nikajua hujapata, sasa kwanini wenzio jana wapo kwa Davido wewe upo kitambaa?
AmenNina ki iphone 13 hapa, nasubiri 16 ishukeshuke ni dake moja then nitabadilisha baada ya miaka mitatu ama minne tukijaliwa
Lol nilishadaka 16 mkuu nasubiri 18, Mungu nisaidieAmen
Mkuu iphone ni simu nzuri tatio wabongo wengi wanaziponda kwa sababu hatuna huwezo wa kununua.Lol nilishadaka 16 mkuu nasubiri 18, Mungu nisaidie
Ukitaka kuiuza hiyo 16Lol nilishadaka 16 mkuu nasubiri 18, Mungu nisaidie
Iphone zote ni nzuri au baadhi ya matoleo?Mkuu iphone ni simu nzuri tatio wabongo wengi wanaziponda kwa sababu hawana huwezo wa kununua.
Sio zote kwa sababu zingine zimepitwa. na wakati mfano iphone 6.7.nkIphone zote ni nzuri au baadhi ya matoleo?