Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

Akili likizo,mdomo kazini
 
Basi Kaa kimya akuna tutakachokusaidia hapa Msemaji wenu alinukuliwa akisema pale tff Kuna sanduku la maoni uyapeleke uko baada ya kolo kudhulumu point za Dodoma Jiji,,sasa na wewe elekea uko mapema!
Eti kaa kimya? Unakuja na vihoja, ukishindwa unawaambia watu wakae kimya, pumbavu kabisa.
 
Kusajili wachezaji wengi wa kimataifa hakiwezi kuwa guarantee ya team kuwa bora au kufanya vizuri uwanjani, angalia hao Singida kabla ya kucheza na Yanga leo je matokeo yao yapoje? Wameshinda mechi moja pekee ambayo ni dhidi ya JKT, tena wamecheza na timu zote za saizi ya kati tu.
 
Ungekuwa na uwezo wa kuelewa ungeelewa maana ya kutaja wingi wa wachezaji wa kigeni haikuwa tu kuonyesha ubora wa Singida bali ukubwa wa mechi. Kusoma na kuelewa si kipaji bali ni maarifa unayoweza kujifunza na haujachelewa.
 
Mtoa mada mbona kama UNAJAMBIA mbali!?
 
Mkuu ungeambatanisha na ushahidi usiotia shaka.
 
Eti kaa kimya? Unakuja na vihoja, ukishindwa unawaambia watu wakae kimya, pumbavu kabisa.
Mpumbavu ni yule anayebweka kama mbwa akilalamikia ujinga wakati yeye ndie kinara wa ujinga
 
Ma utopolo mpka aibu jamani..
Si mnaona Yule Soawah alianzia benchi kaingia kawapachika bao....
 
Tabora, Namungo,coast union hizo ni timu mnazochukuaga point bila jasho kwakuwa mnakuwa mshamaliza biashara mezani sasa mkae kimya uwa mnakenua sana tunaposema juu ya ayo matawi yenu
coastal 2-2 umesahau
 
coastal 2-2 umesahau
Achana naye huyo chura. Anapayuka tu mambo yasiyo na kichwa wala mguu. Muulize mara ya mwisho uto kufungwa au kutoka sare na moja ya tawi la GSM ni lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…