Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

Kwa mechi ngapi mlizocheza na coast?
Kwa hiyo sasa hivi tunahesabu idadi ya mechi na siyo matokeo? Coastal ingekuwa tawi la Simba, kwa jinsi ligi ilivyo tight, ile sare ina make sense kwako? Sawa tunajua unatimiza jukumu la kutetea timu yako ila tumia akili kidogo.
 
Mjerumani Saed ramovic mbona alisha sema ligi hii ni dhaifu jamaa aliona mbali kasepa zake mpinzani akifungwa na yanga wanafurahi
 
Kwa hiyo sasa hivi tunahesabu idadi ya mechi na siyo matokeo? Coastal ingekuwa tawi la Simba, kwa jinsi ligi ilivyo tight, ile sare ina make sense kwako? Sawa tunajua unatimiza jukumu la kutetea timu yako ila tumia akili kidogo.
Yanga anapotoa sare ama kufungwa na Simba akapata matokeo ya utata mbona midomo uwa mnaishona? Kunya anye Bata akinya kuku ni sawa!
 
Ni fedheha kwa tff kujifanya hawaoni uchafu unaofanywa na utopolo na timu za gem, hasa sbs. Ila iko siku kila kitu kitakuwa wazi hadi nje ya nchi
 
Yanga anapotoa sare ama kufungwa na Simba akapata matokeo ya utata mbona midomo uwa mnaishona? Kunya anye Bata akinya kuku ni sawa!
Utata mnaunzisha nyie. Mnadai Simba inapewa penati nyingi wakati tofauti ya idadi ya penati za Simba na zile za Yanga ni mbili na hiyo ni kabla ya hizi penati double double mnazopewa siku hizi ila kwa kuwa nyie ni mabingwa wa propaganda basi kelele zenu zinasikika.
 
Na zitaendelea kusikika mlianzisha michezo michafu mkawa mnakenua sasa tutamaliza na mwisho wa msimu tuone nani bingwa!
 
Uzuri wake club bingwa huna nguvu watu wanakupiga home and away
 
Na zitaendelea kusikika mlianzisha michezo michafu mkawa mnakenua sasa tutamaliza na mwisho wa msimu tuone nani bingwa!
Kwa hiyo bado una matumaini na ubingwa? Nyie ndiyo mnaitwa wafia timu.
 
Kwa hiyo bado una matumaini na ubingwa? Nyie ndiyo mnaitwa wafia timu.
Hapana wewe mwenye kikosi Bora ndio una matumaini si tunaona kikosi chako kilivyo Bora kuzidi cha yanga🤣🤣
 
Ndiyo. Mbona kama kauli yako mwenyewe inakusuta unatafuta pa kutokea?
Taja kikosi cha Simba cha kwanza na wanaokaa benchi alafu nitajie cha yanga tuweke kwenye mizania ndio tutajua ni kipi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…