Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

RIP mshua, akitoka zake Masjid pale manyema kila ijumaa lazima anipigie simu ilikuwa lazima Ijumaa akutafute.
 
Wapumzike kwa Amani Wazee wetu tuliwapenda lakin MWENYEZI MUNGU amefanya lililojema zaidi kwaoπŸ˜­πŸ™tunashukuru kwa maamuzi yakeπŸ™na Wazazi wetu walio hai tunawaombea Afya njema..furaha..na uhai mrefu zaidi kwao waendelee kuishi mpaka tuwaanike njeπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ahsante sisy Mama anauma sana, nilishawahi kununua zawadi nikaenda kuviacha kwenye kaburi lake nikaondoka.
Nikiona rafiki zangu wanawapigia simu mama zao naumia km mtu ananichoma kisu chenye ncha kali 😭😭😭
Yeah,mama ni wa muhimu sana.Pole sana cute
 
Pole bff ni maumivu makali tunapitia, mimi nikiona mada km hizi nakimbia kabisa sitaki kukumbuka hapa leo nitalia Sana’a [emoji17][emoji17]
[emoji120]muombee azidi kulala salama, i feel your pain and i plan to help you lessen your struggles.
 
unapiga chenga sana pombe ndo inatumaliza mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…