Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Pale fire ndo lilikua chimbo langu la internet

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sisqo na kundi lake la dru hill. Jamaa alikuwa bishoo balaa.
Kuna kundi la jagged edge, wale jamaa na ngoma zao fulani za kinyamwezi kuna moja inaitwa where is the party kuna nelly. Halafu walikuwa chini def jam ngoma anazigonja jamaine dupri producer tozi balaa.
**** mwanadada Eve alikuwa anachana balaa akiwa kundi la ruff ryders.
Kuna kundi la the fugees akiwa wycliff na mwanadada jina limenitoka. Yule dada alikuwa konyo aisee. Kuna ngoma fulani inaitwa guantanamela mle kacha vinaya mno.
Kuna fox brown yule dada alikuwa nachana si kidogo.
Kuna cris cross dah hawa jamaa nilikuwa anwaelewa sana
 
Wapi diddy [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wapi freddo starr huyu mwamba hakutamba sana ila ghafla tu nimekumbuka songi lake dat be dem [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Didy na I need a girl
Kanye West na coming hooome
Alicia keys na no 1
Keyshia Cole
Shania Twain
Celine
Tony Braxton

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida ulikuwa mdogo ulikuwa bado unavaa nepi. Hukuyashuhudia haya ya kuvaa plasta na kujiona Nelly.

Miaka ya kuvaa jeans za Fubu, Fat joe, Phat farm, Sean John, etc.

Viatu air force one, air Jordan, Andyone na Taima.

Manina.
Tuliwah kunyanganywa kombe skuli sababu timu nzima tuliingia uwanjani na plasta kudadeki 😂😂😂 tuliinjoy sana
 
1. E.V.E,
2. Sean Paul,
3. 50 Cent,
4. BIG Notorious,
5. Wyclef,
6. Akon,
7. Common,
8. Shaggy,
9. Snopp Dogg,
10. Kanye West,
11. Alicia Keys,
12. NE-YO,
13. Ciara,
14. Beyonce,
15. T.O.K
 
Haramu kuna huu ngoma ya Neymar wa mitego hapo kati patamu ,Dah kibamba sana[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…