reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Pale fire ndo lilikua chimbo langu la internetDah hayo maisha ya Internet cafe acha kabisa [emoji23][emoji23] cafe ipi hatujaingia daslam mjini [emoji23][emoji23] Ila kuna kituko kimoja sitakaa nisahau. Enzi hizo net cafe saa nzima 500 . hiyo ndo ilikuwa bei elekezi. Labda uende za kishua mitaa ya Ohio serena saa nzima buku 2. Sasa Bwana kuna mshkaji wangu akaleta chimbo jipya liko mnazi mmoja mitaa ya mtendeni na kisutu akadai masaa matatu buku. Basi raia Hao kama wote [emoji23][emoji23] tukatia timu. Computer inaload hatari. Yan kufungua page dakika 5. Kumbe lile saa waliloongeza Ni kufidia loading [emoji23][emoji23][emoji23].
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app