Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

Black box, New edition, Five Star, MC Hammer, KrissKross, The Wacko Jacko, Jamine Dupri e.tc
 
West life
Madonna..Goodbye
Dolly Paton
Judy Boutcha.. Can't be with you
Ashanty
J. Lo
Left Eye
Enrique Iglesias...Roamer
50 Cent.. In da club
Buster rhymes
Lil Kim
Aaliyah
Snop Doggy
Fat Joe
Eve...mpaka leo kwangu huyu ndio best female rapper
Lil Bow wow
Mariah Carey
Kelly Rowland.* Huyu atakuwa na mtoto wangu maana katika picha za kupigia pulley chooni tulipokuwa tunasoma boarding, ilikuwa my favourite na wakati huo balehe ndio imeingia.Kwa siku nilikuwa nampiga hata bao tano
 
Eve na goma lake la Tambourine

Dah enzi hizo niko skonga

Nilikuwa namkubali sana
 
Nelly 50 cent walivuruga sana watu mjini hapa
 
Yule mkewe inasemekana alikua na fuba la kutosha sana
 
Kuna mwamba wa kuitwa chanta walla na ruda criss na huyu rhsm na huyu jamaa wakuja hapa bongo baada ya kuona kiingilio cha wabongo kwenye show yake ni hela ya kula maandaz akasema mkawape maskin haha vuta picha jamaa kasamehe m200
Chai
 
EXHIBIT huyu mwamba hatajwi sana ila ana dude lake silikumbuki vizuri jina beat yake imeshiba mpaka basi, something like easy kuna mwanadada ameimba chorus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…