Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.

Hahaha na usingekuja kupajua maisha yako yoote mpaka unakufa πŸ˜€.

Huyo single mother nae kiboko, hajui kula na kipofu kabisa πŸ˜€
 
Hiyo mizani unayoongelea tangu zamani haikua one way traffic. Each side had terms and conditions. Somewhere along the way we started holding men accountable on their side of the deal while telling women their side is optional.

Kumbuka kuna wajibu ambao mwanaume alikua anabebeshwa nyakati hizo ambazo bikira ni preference. Mwanaume alikua anawajibika kutoa mahari na lifetime privision and protection kwa mkewe. Kama tunataka kuondoa terms and conditions upande wa mwanamke basi tuziondoe pia na upande wa mwanaume.

Kwamba kama purity/virgin sio kigezo chenye uzito tena upande wa mwanamke, basi na provision kisiwe kigezo cha kumbana mwanaume. Kwa sababu mwanamke na mwanaume wote wana fursa sawa katika dunia ya leo
 
Labda useme kwa yule ambaye hajatumika sana, ila kigezo cha bikra, kuna sintofahamu mahala. Lol
Kumjua ambae hajatumika sana nao ni mtihani kwakweli. Ndo maana wengine wanaona bora tu ajipatie bikra angalau kwa asilimia fulani anaweza kujua kama katuka au la.
 
Basi ni mwendo wa mahandaki, maana mimi nilifikiri ni dilated cervix imekuwa zoomed in nikawaza kichwa cha mtoto mbona hakionekani?
One has to be possessed to do this to themselves. Hata madada poa wanaojiuza nao they're possessed.

Like kuna kitu ndani yako kinakwambia huna thamani kabisa, wewe ni wa kufanyiwa ubaya na uchafu tu siku zote kudhalilishwa, kuumizwa.

Yani kuna kitu kilikutokea hadi leo unaamini Hustahili kuheshimiwa, kupendwa, kutunzwa, kulindwa.

Ukija mitandaoni ukasoma comments za kina Natafuta Ajira huku upande mmoja wanaongelea kununua madada poa classic, upande mwingine wanakuja kusema hawaoi wasio bikra, akili yako inakuambia huyu kiazi anayeongea na kufanya haya ana thamani sana, anachosema ni kweli wewe haufai somehow, inabidi ujitahidi utafute kukubalike naye! !

EBO !

Very sad, may the Lord JESUS save you from this pit of self hate.

May the Lord JESUS lead you to the truth and set you FREE. TRULY FREE.

You might think you are Free kumbe ni mtumwa.

Mtumwa wa dhambi
.
 
Kuna mrembo wa UDSM katuunganisha Watanzania

Kasura kazuri ila sasa huko chini handaki
Mkuu weka kapicha kidogo, labda hilo PANGO linaweza kuwashawishi wizara ya MALIASILI NA UTALII wakaliongezea kwenye MAPANGO YA AMBONI - tukaongeza vivutio vya UTALII na kuongeza mapato ya nchi (GDP), na haswa FOREIGN CURRENCY.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…