Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Huku huyo chakula ya wote atakuwa kawaalika ma ex zake, halafu jamaa ana lia na kujisifu Sana.

Huku akisema thank you baby kwa kuni kubalia😅😂
Simps ni wajinga sana

Mademu wanaoolewa sio bikira lazima wawaalike ex zao harusini kuna kafeeling fulani wanakuwa nacho

Na siku chache kabla ya harusi lazima walale na baadhi ya maex zao na siku hiyo huwa wanalia sana wakipigwa miti full kukuomba msamaha naolewa naye tu lakini nakupenda sana wewe, speaking from experience

Ukumbini ex za mke wake wanampongeza SIMP kinafiki "mkuu hapa umepata mke"
 
Kiufupi hatuendi na viatu vya mazoezi siku ya mechi.

Kwa Watibeli ni bora usioe kuliko kuoa mwanamke asiye na bikra.
Asiye na bikra na single mothers Sisi watibeli tunawaona wote ni sawa. Huwaga tunashangaa wanaowaponda single mother alafu muda huohuo ameoa au mchumba wake hana bikra.
Hao Bora wajiunge kataa ndoa tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom