Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #101
NimeshakujibuWee hujajibu nilicho uliza, ila unakimbia swali na unajua kuna sehemu itakubana. Lol
NimeshakujibuWee hujajibu nilicho uliza, ila unakimbia swali na unajua kuna sehemu itakubana. Lol
Kataa ndoa ni taasisi imara, haipokei wajinga wasio jielewa.Kwa Watibeli ni bora usioe kuliko kuoa mwanamke asiye na bikra.
Asiye na bikra na single mothers Sisi watibeli tunawaona wote ni sawa. Huwaga tunashangaa wanaowaponda single mother alafu muda huohuo ameoa au mchumba wake hana bikra.
Hao Bora wajiunge kataa ndoa tuu
Umasikini na ujima tu unawasumbua na kuwasababishia inferiority complex, Bilionea wa $ Tiger Woods sasa hivi yuko na Vanessa Trump mwenye watoto wawili wa DJT Jr. makapuku mko Tandahimba, Tanzagiza mnahangaika kusaka bikira😁Simps ni wajinga sana
Mademu wanaoolewa sio bikira lazima wawaalike ex zao, na siku chache kabla ya harusi lazima walale na baadhi ya maex zao na siku hiyo huwa wanalia sana wakipigwa miti full kukuomba msamaha naolewa naye tu lakini nakupenda sana wewe
Ukumbini ex za mke wake wanampongeza kinafiki mkuu hapa unepata mke
mambo ya kujiskia ni ya kikeHakuna mkulima asiyechagua jembe hii ni nukta.
Unajisikiaje kupita kwenye pito la mwanaume mwenzio? Tena sio mmoja washapita na kupita?
Hawa wasaka bikra wakizikosa ndio wanageukia kuingiliana kinyumeHuo used mnautumia na wanaume wenzenu au wanawake??
Unatia huruma unavyojiedit na mishangazi? We hutaki bikra mdogo etu?😅
Nimecheka sanaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Coca, hicho kigezo sio changu, mimi hoja yangu mzinga usimalizwe asali, sasa unakuta mzinga mwingine hata masega hamna. Yani mzinga umebaki mbao tuu na misumari. [emoji16]
Wakamatwe wafunguliwe makosa ya uharibifu wa binadamu, inasemekana huko visiwani wamesababisha baadhi ya mabinti wawe wanatoa mifereji ya Hormuz tu kuhakisha nuclear haziguswi mpaka waolewe.Hawa wasaka bikra wakizikosa ndio wanageukia kuingiliana kinyume
Hujajibu, by the way niliyemuuliza kajibu na tumeeleweshana.Nimeshakujibu
Tukiwa tuna ongea usipende kutoa mifano isiyo na reference katika maisha ya mtu mweusi,.Umasikini na ujima tu unawasumbua na kuwasababishia inferiority complex, Bilionea wa $ Tiger Woods sasa hivi yuko na Vanessa Trump mwenye watoto wawili wa DJT Jr. makapuku mko Tandahimba, Tanzagiza mnahangaika kusaka bikira😁
Kabisaa Dr.Hawa wasaka bikra wakizikosa ndio wanageukia kuingiliana kinyume
😂 Hahahaha Mkuu umenichekesha san sasa upo upand ganMimi hoja yangu sio kuwa bikra, hoja yangu ni kutumika katika mazingira ambayo muoaji, akioa basi akute hata kuna ahueni. 😁
Babu zao wenye wamejidai wanataka bikra mwisho wa siku wameletewa damu ambazo sio zako kwenye familyHahahaha nilishachunguza madogo wanatafuta ka sloop ka kuserereka tu hawana lolote
Bwashee nisije kukosea adabu, au kufanya tuonane mafala.Hawa wasaka bikra wakizikosa ndio wanageukia kuingiliana kinyume
Ni wewe bwashee , bikra kwangu ni usumbufu tu haina faida yoyote kwangu ,na binafsi sivutiwi na watoto wadogo ambao hata kufua kufuli ni shida
Nishalewa hapa ngoja log out🤣Kabisaa Dr.
Majizo kamuoa Lulu,Tukiwa tuna ongea usipende kutoa mifano isiyo na reference katika maisha ya mtu mweusi,.
Historia ya mtu mweusi ikoje katika masuala ya ndoa?, au tiger woods ndio ancestors wako huko kolomije?
Tulia tu bwasheeBwashee nisije kukosea adabu, au kufanya tuonane mafala.
Kataa ndoa ni taasisi imara, haipokei wajinga wasio jielewa.
Yaani soda upewe mpya, sahani ununue mpya, halafu arghh wapi