Usumbufu wa Siku moja ukizindua mgodi kwa mwanamke atakayeitwa mkeo na mama watoto wako kwetu watibeli haidhuru.
Katika vitu Watibeli hatuvumilii ni usumbufu kwa mwanamke ambaye sio bikira. Yaani mwanamke bikra Hana alafu akusumbuešš
Kuna vijamaa vinateswa Sana. Unabaki kumuuliza huyo demu anayekupelekesha ulimjyta bikra anasema hamna. Unaishia kumdharau tuu Mshikaji.
Demu hujamkuta bikra. Kuna wakulungwa kibao wamepita.
Demu uzuri wenyewe mpaka ajipodoe
Umbo mpaka avae kiminiš
Sura kama lenzi mbinuko
Pesa hana
KAZI hana
Anakupelekesha. Yaani š
š
Ndipo unagundua Mfalme huwaga ni mmoja kati ya maelfu ya watu.
Wewe uliwahi kuona watoa bikra wakipelekeshwa na wanawake au mapenzi?