Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
On a serious note, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ukubwa au udogo wa viuongo vya za siri vya kike na uzoefu wa kufanya mapenzi.
Mimi nakula kg tatu nzima nyama ya nyati na vodka miziga miwili halafu nianze fukuzana na bikra ,ni sawa na simba kuanza kuwinda sungura badala ya nyati😅😀Wanatafuta pa kujificha
Yan badala watafute dollars wanatafuta bikra wtfUmasikini na ujima tu unawasumbua na kuwasababishia inferiority complex, Bilionea wa $ Tiger Woods sasa hivi yuko na Vanessa Trump mwenye watoto wawili wa DJT Jr. makapuku mko Tandahimba, Tanzagiza mnahangaika kusaka bikira😁
Pole sana kama unadhani kujisikia ni yakike basi huenda wewe ndo ukwa mwanamke mwenyewe.mambo ya kujiskia ni ya kike
cha muhimu ni taste kama iko poa chimba mgodi jomba
umetumia Jf AI auOn a serious note, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ukubwa au udogo wa viuongo vya za siri vya kike na uzoefu wa kufanya mapenzi.
Nilikuwa nime seti falcon 9, nikaona mbona huyu familia yangu bwashee 😅Tulia tu bwashee
😂 Hahahaha Mkuu umenichekesha san sasa upo upand gan
😅😅 familia kwanza bwasheeNilikuwa nime seti falcon 9, nikaona mbona huyu familia yangu bwashee 😅
kuwa na busara ata dharau nazijua vilevilePole sana kama unadhani kujisikia ni yakike basi huenda wewe ndo ukwa mwanamke mwenyewe.
Mgodi ni mgodi as long as unatema madiniMgodi mzuri ni ule uliuanza wewe na ukaweka plan zako kwamba utachimba kwa mfumo wa Open pit au wa underground. Ukikuta wameuanza wenzio huna budi kupita walipopita wenyewe vinginevyo utaambiwa ACHA USHAMBA WENZIO HAWAKUANZA HIVYO😂😂😂
USED /AMETUMIKA/KIMETUMIKA.Mwanamke. "Asiye bikra."😂
Watafute ela kwa kweliYan badala watafute dollars wanatafuta bikra wtf
Walioa bikra wanaamini kwao ni ngumu kuchapiwa😅😅 watupie namba tuwashangazeEveryone want to touch a woman but everyone want untouched woman.
mwafrica na ujinga ni kidevu na ndevuWatafute ela kwa kweli
Akili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.Mimi sio muumini wa dini yoyote, nafata mila za mababu zetu wali fanya kipi kizuri niige sio kwenda ka ndama wewe.
Ambaye role model wako ni gigi money 😅
Sijasema nimetembea na wanaume wengi ila ndio hivyo holaaaa
Anyway najitunza now mwaka wa pili sasa 👍
Huenda janja ni mlengo huo gizani, yaani kaji pinda kuandika role model wa ukoo wake halafu kaishia kutaja wagawa homuz.Huyo kijana mwanzoni nilikuwa namuona smart hasa akipigania mambo sijui ya Uhuru
Lakini niligundua ni wale wenye matatizo makubwa ya Uhuru wa kijinga uliopitiliza.
Fikiria kijana asiyeona ubaya wa ushoga.
Ataonaje ubaya WA kuoa mwanamke asiye na bikra.
nakazia watoe namba 72 hrs madem zao tutakuwa nao duban wamechanua miguu😂Walioa bikra wanaamini kwao ni ngumu kuchapiwa😅😅 watupie namba tuwashangaze
😀😀😀 mwanaume kuw na afya stable income sio kulilia bikra 😀😀Mimi nakula kg tatu nzima nyama ya nyati na vodka miziga miwili halafu nianze fukuzana na bikra ,ni sawa na simba kuanza kuwinda sungura badala ya nyati😅
😅Wakamatwe wafunguliwe makosa ya uharibifu wa binadamu, inasemekana huko visiwani wamesababisha baadhi ya mabinti wawe wanatoa mifereji ya Hormuz tu kuhakisha nuclear haziguswi mpaka waolewe.