Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
XiAkili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.
Siku nyingine ili ujadiliane na wanaume wenye akili timamu, tuliza kichwa na sio kukaza tako au tumbo utatoa hiyo mimba.

Tulikuwa tuna jadili kuhusu mahusiano na ndoa, ghafla uka hamia dini,mara ume rukia ukoloni kipi ni kipi?

Dogo zipo kweli au ndio tayari hivyo, Robert Heriel Mtibeli janja kavurugwa
 
Jamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.

Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
Usiende kuzungumza huu ujinga wenu wasaka bikira nje ya Africa, mtatuletea aibu Waafrika wote tuonekane wote ni viazi.
 
Sina hofu mkuu toa namba demu wako atakuja kukusimulia magoli😂

Sasa unaposema atoe namba huoni unaelezea hofu yako. Kwamba unahisi demu kugongwa kwa hiyari Yake ni big deal?
Demu anagongwa ukikamata unafukuza. Unatafuta binti Mdogo mbichi, bikira.
Hivyohivyo.
Acheni uvivu vijana.

Ninyi ndio mnawivu mpaka hamtaki wake zenu watoke licha ya kuwa mliwakuta used
 
Dhana ya kununua mitumba imetuathiri sana watanzania, kama tuna jeuri ya kununua hadi chupi used, kuna nini kinatushinda.

Ila used kama used ni basi tu hatuna hela.

Ukija huku kwingine, ni basi tu tumeshazoea, ila used haifai...nasema ni basi tu!!
Mzee ume sikika vyema, ongeza sauti uzidi kuwakera 😅
 
Sasa unaposema atoe namba huoni unaelezea hofu yako. Kwamba unahisi demu kugongwa kwa hiyari Yake ni big deal?
Demu anagongwa ukikamata unafukuza. Unatafuta binti Mdogo mbichi, bikira.
Hivyohivyo.
Acheni uvivu vijana.

Ninyi ndio mnawivu mpaka hamtaki wake zenu watoke licha ya kuwa mliwakuta used
Hujanielewa ,
Point yangu ni kwamba kumtoa Dem bikra sio kigezo kwamba hutagongwa

Kama unabisha toa namba
 
Tatizo la wala used mnafikiri hofu mliyonayo ninyi ni sawa na wala vitu vipya.

Wanaume waliooa wanawake bikira hawanaga hofu kwa sababu wao ni namba Moja. Wamewakuta wanawake wakiwa sio Malaya.

Wao ndio wamewafundisha hayo yote ambayo nyie mkija mnasema wanawake wabaya sijui hawaeleweki. Lakini waliowabikiri mbona wanawaelewa.
Itoshe kusema bikra is overrated. Halafu mbona bikra wala haina uhusiano wa moja kwa moja na tabia ya mwanamke mkuu.
 
Hujanielewa ,
Point yangu ni kwamba kumtoa Dem bikra sio kigezo kwamba hutagongwa

Kama unabisha toa namba

Oooh! Kumbe! Hilo mbona tunalijua ndio maana Sisi ndio tunataka tuwe wakwanza Kula ili wengine wale tulichokula.

Wewe kwa akili yako umefika Bar au Hotelini.
Unafikiri chakula utakachoanza kukila au kilicholiwa na wenzako kipi utaagiza?

Wewe ukila chakula ukabakiza wakaja wengine wakala itakuuma?
Au wakila wengine kisha ukaachiwa makombo na mate mate na mifupa haitakuuma?

Hakuna mwanaume aliyeoa mwanamke bikra alafu akamfumania mkewe ukamkuta anapiga makelele. Huyo mwanaume hayupo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom