Kuwa na maumbe makubwa ni genetics tu bwashee
Tajiri, yapo matobo kweli ni ya asili, ila yapo pia "man-made". 😁
Kuwa na maumbe makubwa ni genetics tu bwashee
Nishalewa hapa ngoja log out🤣
Hakuna kitu kama hicho labda waarabu na waislam na sio wote, civilized society nyingi watakushangaa ukiongea hayoJamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.
Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
Utajuaje umemzindua na sio yeye amekuzindua wewe??Hawa watu wanaozungumzia bikra wana hoja ya msingi kumzindua demu kuna raha yake bn
bikra kwanza hana experience ya mapenzi.Ukioa bikra n taabu tele maana ukivumnja hiv ataanza kuchepuka maana atatakakutesti ladha ya madude.Ila ambaye hana bikra anaexperience ya mapenz pamoja na maisha.Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema.
Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
Jamaa wewe una hoja za kipimbi sana! Kuna jamaa yangu naye alikuwa anatambia watu bikira, kunbe kibinti ili kulinda bikira kilikuwa kinafumuliwa tigo! Mama weeeeee hilo pango sasa ni hatari! Kama umeoa bikira kamchunguze tigo!Unataka malaya sio?
min -me hapa ulikula jab kali bwashee 😅Walevi nyie ni ngumu Sana kusaka bikra nyie mmezoea mipira iliyokufa. Muwaleweshe makahaba huko Bar ndio mjipatie.
Kumvua nguo bikra sio rahisi na haitaji mwanaume mjinga.
Try me 😎Kwa myaka unayosema umepiga nyeto wewe tena huna u,,,,,,ooo
Ni utambi yaan legevuu kama ule wa chemli ya mkoloni
Umejuaje? ulikuwa unatafuta huko shule ya msingi mwenetu? 🌝Bikra hazipo hata shule ya msingi
Sasa yoda mwanaume anazinduliwaje?Utajuaje umemzindua na sio yeye amekuzindua wewe??
Bro huyu dogo leo ana toa maboko, kiufupi ana elekea kurusha tauloSasa yoda mwanaume anazinduliwaje?
Lile pango lilifaa kuwepo AMBONIMabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema.
Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
Ngoja tumsikilize labda ana hoja ya msingiBro huyu dogo leo ana toa maboko, kiufupi ana elekea kurusha taulo
Pale una hitaji magogo mzee wanguLile pango lilifaa kuwepo AMBONI
Naomba umuwakilishe, vipi wewe una weza kuzinduliwa bro?Ngoja tumsikilize labda ana hoja ya msingi