Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
More sex, loose vagina what a myth?!

Halafu kwa nini wanaolilia bikira ni watu wenye low opinion of women hapa JF...utawakuta kila mahali wanapopondwa wanawake wapo; kny Masingle mothers mpo, kwenye mafeminists mpo...issues sio bikira issue ni mwanamke,akiwa mwanamke tayari ni Threat....mpaka muponde ponde ndio mjisikie wanaume...kuna mmoja kila siku anaanzisha mada za kuponda wanawake hapo alipo kaoa bikira, sasa unajiuliza huyu asingeoa bikira ingekuwaje..unagundua issue ni mwanamke sio bikira wala nini, embu deal na ishu zenu za Early upbringing pamoja na Early experiences zenu na wanawake tushachoka ku deal na inferiority complex zenu
 
Siku nyingine ili ujadiliane na wanaume wenye akili timamu, tuliza kichwa na sio kukaza tako au tumbo utatoa hiyo mimba.

Tulikuwa tuna jadili kuhusu mahusiano na ndoa, ghafla uka hamia dini,mara ume rukia ukoloni kipi ni kipi?

Dogo zipo kweli au ndio tayari hivyo, Robert Heriel Mtibeli janja kavurugwa
Dogo, akili yangu ni kubwa sana inaweza kwenda kona zote ndani ya dakika chache tu, kama unazidiwa potea, umeingizwa dini na historia tu unalay, Je ungeingizwa na Sayansi si ndio ungepiga yowe kabisa?!
 
Sjui wake zako mkuu, huo ni uzoefu wake na sio kwa wote

Watibeli tunao Bikes. So ninakupa uzoefu kwa Waliooa bikra ninaowajua. Mimi sio wakwanza na sio wamwisho.

Kwa watu maarufu, unamuona Dickson Shaboka?
Mkewe alikiri aliolewa na Dick akiwa Bikes.
Msikilize Dickson akiongea utaona tofauti na wazee wa used
 
Dickoson shaboka simjui na sitaki kumjua bwashee, punguzeni chips mayai vijana
 
More sex, loose vagina what a myth?!

Halafu kwa nini wanaolilia bikira ni watu wenye low opinion of women hapa JF...utawakuta kila mahali wanapopondwa wanawake wapo; kny Masingle mothers mpo, kwenye mafeminists mpo...issues sio bikira issue ni mwanamke,akiwa mwanamke tayari ni Threat....mpaka muponde ponde ndio mjisikie wanaume...kuna mmoja kila siku anaanzisha mada za kuponda wanawake hapo alipo kaoa bikira, sasa unajiuliza huyu asingeoa bikira ingekuwaje..unagundua issue ni mwanamke sio bikira wala nini, embu deal na ishu zenu za Early upbringing pamoja na Early experiences zenu na wanawake tushachoka ku deal na inferiority complex zenu
Hawana hata haki ya kulalama maana wao wamechakaza huko mitaani kwao wakatupa huko sasa wanalia lia wanataka bikra 🤔
Just imagine malaya wa kuiume msataafu anataka bikra hivi huo si ubinafsi? Uliwachakaza aoe nani?
 
Mm sio bikra nishapita na mademu saba na malaya kum na tatu.Alaf ntake bikra hi inawezekanaje.Yan nkatongoze wanafunz alafu nifungwe c bora tu nzame handakin.Mm bora mwanamke tatizo tu asiwe mke wa mtu.
 
Dogo, akili yangu ni kubwa sana inaweza kwenda kona zote ndani ya dakika chache tu, kama unazidiwa potea, umeingizwa dini na historia tu unalay, Je ungeingizwa na Sayansi si ndio ungepiga yowe kabisa?!
Sanaa ya majadiliano haijui, na hizi bunduki zako za maji hazi ui.

So jitahidi uwe una panga hoja zako kwenye aya au mada Moja, sio una ruka ruka halafu una singizia akili kumbe you're empty as hell.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom