cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mbona iko vizuri! Au jaribu ku update bas.Telegram inanigomea siku hizi
Sijui nimepigwa ban
Mbona iko vizuri! Au jaribu ku update bas.Telegram inanigomea siku hizi
Sijui nimepigwa ban
😄😁😁😆😁😁Sina hofu mkuu toa namba demu wako atakuja kukusimulia magoli😂
😂😄😁😁😆😁😁
Kuna single mama moja nilitaka kujichanganya. Mahari 1.2M na inawatoto wawili, mimi zigo lake ndo lilinichanganya nikasema hii mama waliomzalisha na kumuacha ni wazembe sana, nikiweka ndani mimi najifaidia tu. Sasa nilikata tamaa siku aliponiambia yaan wewe unajua mambo kitandani ila bado mimi hujanigusa sehemu yangu nyeti kabisa ambayo huwa nakojoa mara nyingi zaidi nikiguswa tu. Nikauliza ni wapi hapo akasema itafute mwenyewe hadi uijue.Halooo! Nikajisemea hapa kuna mijamaa imefukunyua inamjua vzuri sehemu anayopagawa zaidi, wanajipigia tu so hata nikioa jamaa watakuja kuichapa tu si wanamjulia. Nikaona kweli bora zaidi kuoa bikra usijekufananishwa na wengine mapema hivi. Nikakimbia maana mi sijui wapi yeye anaridhika zaidi.😅😅😅Nikamuachia masela wake waendelee kumkanda vzuri.Kuna simp atakuja kumuoa huyo binti wa UDSM mahari milioni 4.5 na siku ya engagement atampigia goti akimwambia:
"With this ring I give you my heart"
Na ukumbini anawaambia wageni waalikwa hatimaye nimepata ubavu wangu
🚮 🚮 🚮
Sidhani kama hii dhana ya Bikra imeletwa na vijana. Hii sisi tunakuwa tumeikuta kwa wazee wetu na jamii nyingi Bikra ilikuwa kipaumbele kwa mwanamke. Kuna jamii hadi walitandika shuka nyeupe siku ya ndoa ili kuhakikisha bikra ipo kweli?!! Sasa vijana sahizi wanapotaka bikra mnawasingizia et uwezo mdogo/ hawana .Vipi kipindi kile wazee wetu na jamii nyingi kwa ujumla walipokuwa wanapigia chepuo mwanamke kuolewa na bikra kama ishara ya uaminifu na malezi bora kutoka kwa wazazi na jamii, vipi na wao uwezo ulikuwa mdogo??Uwezo mdogo mtani ,🤣🤣 sijawahi kutamani kupiga bomu mochowari
Kwenye uchakataji wa mnofu bikra sio kipaumbele sana ila ikifika muda wa kuoa bikra muhimu. Mengine hayo ya kwenda kuzurura duniani yapo tu.Bikira sio kipaumbele kabisa kwangu mkuu, mjini pananitosha, sasa hivi napambana kwenda New York na Tehran, nyie endeleeni kupambania bikira za ushago.
Wewe yeye unamjua?wanadai sio yeye
Astaghafilulah.!Kitambo
Washamba kivipi mkuu!?😁😁😁Mi navyojua kuna jamii zilikuwa/zinawafundisha wasichana mambo ya ndani(Unyago) kama ishara ya kuingia utu uzima so wanafundishwa mambo ya kitandani, majukumu ya mwanamke, namna yakumtunza mume na familia kwa ujumla. Labda wewe unataka hawa wanawake wanaojifunza mambo ya kitandani kupitia video za X.😁😁Mabikira washamba washamba tu , majamaa yanasaka point tatu za bure tu
hapanaWewe yeye unamjua?
Vipi kuhusu wanawake wanaobagua/nyanyapaa wanaume masikini. Je wao familia na ukoo wao wote matajiri. Hawaoni kufanya hicho kitendo ni sawa na kuwanyanyapaa kaka zao, baba zao, wajomba zao n.k? au ni mwanaume tu ndio anatakiwa kuwa na morality lakini mwanamke akifanya abuse dhidi ya mwanaume ni sawa tu?Mmejaribu kuangalia maumbile ya wanawake zenu wakiinama hivyo?
Vitu vingine hata sio vya kurekodi yaana hata havifurahishi kutazama ni kama unakuwa unaangalia mama ako,dada ako,shangazi zako,bibi zako wake zenu
Mimi nakula kg tatu nzima nyama ya nyati na vodka miziga miwili halafu nianze fukuzana na bikra ,ni sawa na simba kuanza kuwinda sungura badala ya nyati😅
Yaan mwanamke hana aibu na haogopi kabisa na yawezekana ndo mnakutana. Oya, anafika anavua yeye tena anazitupatupa nguo huko. Anapiga goti anafungua zip anavuta mkuyenge wako anaweka mdomoni kabisa. Hao ndo uoe duh!😂😂😂Unapata picha maiki ngapi anazishika na kuimba kama hivi.! Unagundua ni msanii mzoefu haogopi Maiki wala jukwaa, analicontrol ipasavyo.Huwezi mkuta mwanamke bikra anakufananisha na wanaume wengine kamwe lakini hao Malaya umemkuta kapita na wanaume 81 mara4 ya miaka yake unategemea wewe utakuwa na maajabu?
Kwanza uelewe kazilamba,kanyonya.
Style zoote anazijua hadi ya budule(in sukuma)
Halafu iphone utawanunulia wewe? Kodi ya nyumba utawalipia wewe? Brutal utawanunulia wewe?Girls Miili yenu ni yenye thamani sana.
Don't let just any demon get close to you, touch you and worse pour their filth on you!
GademitttMimi nakula kg tatu nzima nyama ya nyati na vodka miziga miwili halafu nianze fukuzana na bikra ,ni sawa na simba kuanza kuwinda sungura badala ya nyati😅