Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Bikra zinatengezwa bwashee, tena ni jambo la fasta tu
Mi naona ni utoto wengi unawasumbua hapa
Bikra zinatengenezwa tena unaamua iwe ya style gani, itokeje, damu kidogo, au mafuriko.
Kwa comment hapa hakuna anaejua bikra. Tukizichanua mmoja aifinyie kwa ndani na mwingine bikra pembeni bikra ya kutengeneza!!!!!! Hakuna atakaechagua pure bikra hapa.

Wabishi kama hawa unawatengezea ile ya mpka kichwa kiingiie siku tatu anahaha huku anaenda kuuliza jinsi ya kutoa bikra!!!!!! We unabaki kuchekea pembeni.
 
Hivi ni namna nyingine unavyoweza kuzinduliwa au kuaminishwa umezindua Mpaji Mungu
 
Usicheke, kuna baadhi ya matobo sio poa. Mpaka Muoaji unasema kimoyo moyo hapa nimepigwa! 😁
Nikwambie tu matobo makubwa ni maumbile tu!!! Haihusiani na kuzaa,, wala kutokuwa na bikra.
Nakumbuka zamani tulifundishwa jinsi ya kusafishe uke bila kemikali.
Uke nao unahitaji matunzo, kama uume unavyohitaji matunzo kamili.
 
Mnavyozing'ang'ania hizo bikra utadhani za kwenu! Bikra bikra bikra khaaah!!
Watakutana nazo feki,, hakuna anaejua bikra hapa
Kama vipi muwe mnaweka booking tangu watoto wakiwa tumboni ili muwakuze mje kuwabikiri vizuri! Or else mnatuchosha tu!

Haiwezekani mtu aishi maisha yake huko we uje ukutane nae ukubwani ulazimishe awe bikra! Kalagabhahooo!!
Yanataka bikra halafu mapenzi hayajui.
 
Mi naona ni utoto wengi unawasumbua hapa
Bikra zinatengenezwa tena unaamua iwe ya style gani, itokeje, damu kidogo, au mafuriko.
Kwa comment hapa hakuna anaejua bikra. Tukizichanua mmoja aifinyie kwa ndani na mwingine bikra pembeni bikra ya kutengeneza!!!!!! Hakuna atakaechagua pure bikra hapa.

Wabishi kama hawa unawatengezea ile ya mpka kichwa kiingiie siku tatu anahaha huku anaenda kuuliza jinsi ya kutoa bikra!!!!!! We unabaki kuchekea pembeni.
Watoto wadogo , uzoefu duni
 
8625202b0f332bd52ec96e71b342ac41.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom