Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Pole
 
Kama ana akili basi kimasiala umekwisha

Nnahkika ukiaga ofsin kwke akikuvizia mlangoni kabla hujatoka akikudaka na kukuvutia ndani tu utakua ushaloa
 
Tongoza, acha kujivunga.
Utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua.
Kijua ndio hiki, usipouanika utautwanga mbichi.
Kalaghabaho!
Asijisumbue unazani napisi ngapi huyo huyo aache maji yatiririke yenyewe akimbabakia ndo asahau man watu kama hao hawana nyege
 
Hii hii,usiku mwema ticha lesson plan una andaa saa ngapi?, Kuna shule ya govt niliwahi kuona asubuhi zinakusanywa headmaster anagonga muhuri.
Weee sie wakongwe hatumuogopi Hm wala nene!!
Sema saivi tupo kwenye terminal exams na ma Mock!!
Shukrani sana mkuu nawe pia
Have a wonderful night with sweet dreams dear!!👋👋
 
Si kmasiala tu geuza moja ya tongozo zako bora uitumie kwaa ulie muelewa .

Mmeshindwa hta kukariri mitongozo mnayo pewa?
Hahahahaaaa... umenikumbusha kitu Nimecheka walai...kuna mtongozo mmoja huo Huwa nacheka sina mbavuuuuu
 
Mpaka muda huu sijapata wakunitongoza.......

Inabidi nisepe nazawadi yangu wallah, wadada mnakwama wapi? 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…