Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Hapa Antonnia
 
Ndiomana aseee uvosema avatar ya ki tomboy ndio nikastuka kujua huyu atakua mkongwe wa kitambo enzi hizoooo!! Kumbe una kumbukumbu sana comrade!
 
Nasubiri hilo tongozo hapa,vile nitasumbua/dengua na pigo za sitaki nataka
🤣Kali p (mwanamuziki) anaimba " akisema stakii, stakii ndio anatakaaa"

Dah,ingekua Kuna feature ya kutuma audio hapa ningetuma hiko kipande
 
Ndiomana aseee uvosema avatar ya ki tomboy ndio nikastuka kujua huyu atakua mkongwe wa kitambo enzi hizoooo!! Kumbe una kumbukumbu sana comrade!
Kuna moja hiyo ulikuwa pembeni ya gari.wewe toka kitambo kabla ya uzi wa picha ulikuwa unapost picha humu. Siku nimeona picha kule kwenye uzi wenu na kina HS nikasema hii pisi Kali ndio ilijificha kwenye zile pensi na mashati ya draft,duh ilikuwa Almas mchangani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…