Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐🀐😎😎😎😎!

Your former username pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
 
Fanya ndio utaona kama nitatanya hivyo au la

Sina hofu, uwanja upo wazi kwa mdada yeyote ambaye anaweza kupiga sound ili nione umariradi wake. Huyo jamaa nimemjibu vile kulingana na swali lake
Kwan siku hizi kuna kutongoza? Si pesa tyuuh.
 
Kumbe nawe wapitaga kimya kimya kulee????? Vibaya hivoo mida mida uwe unanisalimia bana!!!! Twende basi ukatupie nikuone best yangu mie!!!Haya twendeπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
 
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]!

Your former username pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Hahaha nimeiisahau,jukwaa ambalo haukufika ni JLW(jukwaa la wakubwa) enzi hizo. Kuilikuwa na Magroup ya WhatsApp la MMU, na Ujenzi la membe wa JF enzi hizo.
 
Hahaha nimeiisahau,jukwaa ambalo haukufika ni JLW(jukwaa la wakubwa) enzi hizo. Kuilikuwa na Magroup ya WhatsApp la MMU, na Ujenzi la membe wa JF enzi hizo.
Weeeee JLW nakosaje mie weehh nilikuepo mbona!! kuna mwamba Makaveli10 alikua noumaa sana kuleee!!
Sema kule nilikua msomaji zaidi kuliko kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…