Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BABA yake alimshikia Begi la Nyaraka za Mikutano ya CHAMA Hayati Baba wa Taifa wakati Anaanzisha TAA/TANUKwani kina Januari wana hati miliki ya CCM?
Hizo ni mbwembwe tu jina ni Kwihaya.Qwihaya?
Asije kuwa ni mhamiaji haramu.
Nchi hii tumejiachia sana.
Kumbe?Ana Pesa sana huyu jamaa Mafinga,Iringa.Alikuwa na Kiwanda cha nguzo za umeme sijui kama kinafanya kazi baada ya kuja hizi nguzo za zege,but mpunga anao,si hohehahe kama mimi
Kumbe?
Sasa inaeleweka sababu ya wingi wa hizo kura alizopata. Vinginevyo kama hukubaliani na sababu hii, basi toa ushahidi wa kazi muhimu alizofanya ndani ya chama au nchi zinazoweza kumfanya aonekane mtu wa kipekee zaidi ya wengine kati ya hao waliopigiwa kura.
Mimi nadhani swali lingekuwa: Qwihaya kafanya mambo gani ndani ya chama hadi wajumbe wakavutiwa sana na kumpa kura nyingi vile?
Wenye jibu la hili swali wasaidie kutoa jibu.
Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?
Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu
Labda walivutiwa na speech yake
Inawezekana jibu likawa:Hapana.anapesa kumzidi Makamba? mwenye TANESCO, TPDC, EWURA, WAAGIZAJI MAFUTA, TAIFA GAS n.k tuache utani basi.
Wagombea walikuwa karibu 200 hawakua na muda wa kuomba kura jukwaani