Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu.

-29ekje.jpg
 
Ana Pesa sana huyu jamaa Mafinga,Iringa.Alikuwa na Kiwanda cha nguzo za umeme sijui kama kinafanya kazi baada ya kuja hizi nguzo za zege,but mpunga anao,si hohehahe kama mimi
Kumbe?
Sasa inaeleweka sababu ya wingi wa hizo kura alizopata.
 
Kumbe?
Sasa inaeleweka sababu ya wingi wa hizo kura alizopata. Vinginevyo kama hukubaliani na sababu hii, basi toa ushahidi wa kazi muhimu alizofanya ndani ya chama au nchi zinazoweza kumfanya aonekane mtu wa kipekee zaidi ya wengine kati ya hao waliopigiwa kura.

Mimi nadhani swali lingekuwa: Qwihaya kafanya mambo gani ndani ya chama hadi wajumbe wakavutiwa sana na kumpa kura nyingi vile?

Wenye jibu la hili swali wasaidie kutoa jibu.
 
Labda walivutiwa na speech yake
Mimi nadhani swali lingekuwa: Qwihaya kafanya mambo gani ndani ya chama hadi wajumbe wakavutiwa sana na kumpa kura nyingi vile?
Wenye jibu la hili swali wasaidie kutoa jibu.
 
anapesa kumzidi Makamba? mwenye TANESCO, TPDC, EWURA, WAAGIZAJI MAFUTA, TAIFA GAS n.k tuache utani basi.
Inawezekana jibu likawa:Hapana.

Lakini mazingira yakambana Makamba asionyeshe hizo pesa unazodhani anazo kwa sababu maalum, hasa wakati huu, mapema hivi!
 
Back
Top Bottom