Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Kitu gani kinafanya haya yawe ni maigizo ya comedy na hii comedy?

Na wewe una ujuzi gani wa comedy kujufanya uwe mhukumu sahihinwa kujua yapi ni maigizo ya cimedy na ipi ni comedy?
Mimi ni comedy master naelewa comedy na maigizo ya comedy yalivyo kwa hio stand-up comedy nyingi wengi ni waigizaji wa comedy yaan wanafanya maigizo ya comedy hawafanyi comedy km comedy
 
Wewe unaonekana wivu umekujaa sana hadi hujioni mwenyewe.
 
Sahihi kabisa
 
Sijui kwanini sauti ya mtoa mada nimeisikia ikiwa na kishindo Cha wivu, wachekeshaji wapo wengi na kila mtu Ana create content yake, wewe Kama hakufurahishi una uwezo wa kutofuatilia mambo yake! Mimi binafsi Kama naona mtu Hana anachoniongezea kwenye maisha yangu huwa simdiss Ila tu namind my own business! Nakuombea upone hicho kidonda ulicho nacho!
Ngoja nikuelezee kwa ufupi kahistoria kangu.....Mimi nilisoma chuo nilifika Hadi mwaka wa tatu semester ya mwisho kabisa na nilisoma yote na test zote nilifanya Ila sikufanikiwa kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu nilikosa ada, kwa hiyo, hii kitu iliniumiza mnoo! Ikawa kila nikiona watu wangraduate wanavaa majoho wanapost naona Kama Wana show off na moyo ulikuwa unaniuma mnoo....lakini baadae nikajua kuwa Nina wivu uliosabababishwa na maumivu niliyoyapata nikaamua kujitafuta na kutafuta namna ya kujiponya! Nilipoamua kupona sikuliona Hilo Kama tatizo Tena na maisha yanaendelea
 
Nini kinakupa wewe uwezo maalum wa kuweza kutofautisha zaidi ya mtu mwingine yeyote?

Una qualifications gani?
Nimeshakwambia na nakwambia tena Mimi ni comedy master kiraka yaan nikiangusha lazima ung'oe jino moja nje ulimi unabakia ndani ushanisoma?
 
Juzi tulikuwa tunaongea mazungumzo fulani ya siasa watu wengi.

Wengine walikuwa wanaongea sana, wengine tunasikiliza sana.

Basi kuna jamaa mmoja alikuwa anasema sana, dada mmoja kila akimsikia huyo jamaa anacheka, anasema kuwa huyo jamaa anamchekesha sana maneno yake.

Mimi nilishangaa sana. Kwa sababu sikuona kwamba maneno ya yule jamaa yalikuwa yanachekesha sana. Kwa sababu maneno yalikuwa ya kisiasa zaidi. Wala hakukuwa na mpango wa kuchekesha watu.

Kwa nini nimetoa habari hii?

Habari hii ilinifikirisha sana kuhusu kuchekesha ni nini, na nani anachekesha.

Watu tuko tofauti sana, na sababu za mtu kuchekeshwa na kitu fulani ni complex sana. Kuna watu wanaweza kuchekeshwa na sauti ya mtu tu, au muonekano wake tu, bila kujali atasema nini. Kuna watu wanachekeshwa na maneno ya mtu tu, bika kijali anaongelea nini.

Nikaja kukubali kwamba, kila mtu ana uhuru wa kuamua nini kinamchekesha, na hiyo ninhaki yake.

Na hivyo, kampeni kubwa ya kusema hiki hakichekeshi, ni kampeni ya ajabu.

Kitu kisipochekesha, acha kuangakia, fanya wewe unachofikiri kinachekesha, ukiweke sokoni watu walinganishe.

Kama chako kinachekwsha zaidi, kitamfunika tu huyo mtu asiyejua kuchekesha.

Sasa wewe hujafanya lolote unabeza watu waliojaribu kwa sababu hawajafanya unavyotaka wewe?

Pengine, inawezekana kuwa, kuna vichekesho vya watu wenye akili kubwa na vichekesho vya watu wenye akiki ndogo. Halafu, wakati watu wenye akiki ndogo wanafurahia vichekesho vyao bika tabu, watu wenye akili kubwa wanawaingikia na kuwaambia "Hivi si vichekesho, havifai".

This is imposing. As long as watu wanafurahia hivyo vichekesho, waacheni.

Kama.nyie mna vichekesho vyenu vya watu wenye akiki kubwa, fanyeni wenyewe mvifurahie.

There is highbrow and lowbrow comedy, why do you want to force everything to be what you want?
 
Huyo ni wewe sasa😴😄 mimi binafsi nimesomana naekewa maana ya kusoma ila sipendi mtu anayejikwrza kielimu kila mtu jadoma siku hizi
 
Absolutely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…