Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Makasiriko yako umeyalipia kiasi ganii...Tambua Kila mtu ana njia yake ya kutoboa kama hupendezwi nae pita kushoto maana hakuongezei Wala kukupunguzia chochote
 
Typical African, wivu roho mbaya, umaskini umeshatufanya vibaya sana
 
Hapana mleta mada hana wivu...
Ila anachofanya sasa anazingua kuna watu tunamkubali sana huyu jamaa.

Ni miongoni mwa watu ambao nipo nao karibu sana, anachofanya anazingua sio mtu mmoja anaelalamika hvi wapo wengi tu..

Sasa end of day asipostuka atazimwa ajifunze kwa wenzake kina joti...
 
Tayari nimeshaupdate hilo hapo juu jaribu kusoma nimekwambia Mimi ni comedy master yaan hao unawaona kwenye majukwaa walimu wao Mimi ndio Mwalimu wao ushaelewa au nirudie tena?
Mwalimu wa Chuo gani cha Comedy na kina accreditation gani?

Na kwa nini kila mtu afanye comedy unavyotaka wewe, kwa nini kusiwe na nwalimu mwingine anayetaka comedy ya kivingine?
 
Waambieni madogo wafanye comedy sio maigizo ya comedy kuna madogo wapo Bench huku wakiingia uwanjani hawatopata Namba tena
 
Kwa maana nyingine wewe ni wakuja mshamba ambaye hata Kiswahili hujui unayejifaragua kufundisha watu comedy sio?
Mimi ni comedy master kiraka Kiswahili kimelala hapa unataka kusemaje kwani Wewe kule juu mboni ulikua unaandika broken nikawa nakuchukulia kawaida tu ingawa nasoma naona hapa ulikua anamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…