Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

Bora yeye anaejiona kwa kutumia utambulisho wa elimu yake kuchekesha.

Wewe umejipakulia minyama kwa misifa

Upo serious kwa kudhani unamnanga mwenzako alokuzidi umaarufu na pengine mpaka mkwanja.

PUNGUZA MAKASIRIKO YULE MSELA ANAJUA.
 
Mtoa mada anampa promo Leonardo, pengine bila kujua.

Yani hata ambao tulikuwa hatujamfuatilia Leonardo na wala hatumjui, kwa kusoma thread hii, tumejua kuna mtu anaitwa Leonardo anakaa vichwani mwa watu rent free 😂😂😂
 
Dah

Wivu huu ni Kiwango cha lami
 
Ww nahis umetokea kule magharib mwa ziwa Victoria aisee... maana hata kuandika kwako tuu naona misifa kibao ,alaf ww Kwa jinsi navyokuona ungezaliwa pale sumbawanga ungekua mchawi sana
 
Usichukulie vitu serious hivyo. Mfano umchukie mpoki anavyoletaga sifa za kihaya pale anaigiza tu. mkuu unajua kabisa huyo kijana anafanya comedy lakini bado unakasirika.
Nadhani mtoa mada ana haki ya kukosoa pia, na hao comedian pia wa haki na wajibu wa kukosolewa na kujisahihisha pia.
 
Ww nahis umetokea kule magharib mwa ziwa Victoria aisee... maana hata kuandika kwako tuu naona misifa kibao ,alaf ww Kwa jinsi navyokuona ungezaliwa pale sumbawanga ungekua mchawi sana
Nimezaliwa kigoma tanzania
 
Sukari imepanda mwilini mkuu.

Sawa degree unazo nyingi,ila nakosa Imani na uimala WA degree zako.

Unateseka na kazi ya dogo ukiwa wapi k8laza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…