Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio chuo cha kata?TEKU-kama TCU inakitambua shida iko wapi? Mengine yote mbwembwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chuo cha kata?TEKU-kama TCU inakitambua shida iko wapi? Mengine yote mbwembwe tu.
Fanya wewe.Basi wafanye contents za siasa
Mtoa mada anampa promo Leonardo, pengine bila kujua.Hapana mleta mada hana wivu...
Ila anachofanya sasa anazingua kuna watu tunamkubali sana huyu jamaa.
Ni miongoni mwa watu ambao nipo nao karibu sana, anachofanya anazingua sio mtu mmoja anaelalamika hvi wapo wengi tu..
Sasa end of day asipostuka atazimwa ajifunze kwa wenzake kina joti...
Kama aliyefeli form 4 ni msomi basi hata darasa la 7 ni msomi piaalie ishia form4 yeye sio msomi?
Kama kwenye ajira hakuna discrimination basi ujue wamo.Sio chuo cha kata?
🤣🤣🤣Kama aliyefeli form 4 ni msomi basi hata darasa la 7 ni msomi pia
DahHuyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi,
Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what???
Wengine mama zetu walikuwa malecturer,
Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu.
Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena from reputable universities sio vyuo vya kata kama alichosoma yeye
Kila saa mara ohoo nilipokuwa chuo sijui nini sijui nini,chuo chenyewe TEofili Kisanji TEKU
Hajui kuchekesha,abanimalizia king'amuzi tu.
Toa mfano unaoishi!Kiuhalisia kuna taasisi huwezi kuajiriwa kama umehitimu vyuo vya kata,vyuo vina ranks ujue
Trump anamalizia kwa kuwaita shit in shit holesCecil Rhodes aliwaita watu weusi "the most despicable specie of human beings"
Nadhani mtoa mada ana haki ya kukosoa pia, na hao comedian pia wa haki na wajibu wa kukosolewa na kujisahihisha pia.Usichukulie vitu serious hivyo. Mfano umchukie mpoki anavyoletaga sifa za kihaya pale anaigiza tu. mkuu unajua kabisa huyo kijana anafanya comedy lakini bado unakasirika.