Ili swala ni mtambuka kidogo, linahitaji muda kulizungumzia kiundani, welcome pm for discussion.Nikweli Mimi hua napinga mambo ya kugeneralize ...But Mambo ya hiki kabila nayasikia Tangu napata ufahamu wa Akili.
Ila niwe muwazi sijakutana na mtu wa Hilo kabila akanifanyia Ubaya hata mmoja.
.
Acha wivu tafuta pesaMwisho wa mwaka mtu anarudi milimani kuonesha mafanikio yake na wazazi wanacheka
Yaani huyu mama hana hofu kabisa ya Mungu aiseeeh!Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Mwananyamala kuna sehemu watu wanapigana miti maarufu kwa wahaya then mbele ya hivyo vyumba watu wanapita kwenda msikitini na maeneo mengine hakuna mwenye muda na mambo ya mwengineInaonekana ktk Jiji la DSM kuna maovu mengi sana yanaendeleea ktk jamii zetu na wananchi wame nyamaza kimyaa kama hawaoni vile!!! na viongozi hawana habari mpaka WAZIRI atoke Dodoma ndio ashughulikie!!!!
kila mara Rais Magufuli anasema viongozi tatueni kero ZA wananchi ktk maeneo yenu lkn wapi bwana!! Viongozi wamezifumbia macho kero ZA wananchi, hawana. Habari, unawezaje kuzitambua kero ZA wananchi kama uko mbali!!! Hukutani na wananchi??!!!! Kutwa ofisini??!!! Hupatikani?!!!!! Huonekani???!!!!!
Jambo la kujifunza ktk sakata hili ni;
1. Wananchi wenzangu wapenda Amani tuwe mstari wa mbele kufichua uovu/kero ktk maeneo yetu kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kamwe tusikubali mtu au kikundi cha watu wawe juu ya sheria/hawagusiki......tutumie kila mbinu kuwafichua.
2. Kunahaja ya viongozi, Mbuge, Madiwani Na wenyeviti wa serikali Za mitaaa kukutana Na wananchi mara Kwa mara kusikiliza kero zao Na kuzitatua
3. Jeshi la POLISI pia kuna haja ya kuwa Na mikutano ya kusikiliza kero ZA wananchi ktk maeneo mbali mbali.... Itasaidia, sio patrol tu bali pia kuwa Na mikutano ya elimu Na kusikiliza kero
Mkuu upo sahihi kabisa nimekaa na Hawa watu aisee sina cha kuongea sio binadamu hawa ni shidaHakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana
Jiwe gizani.Uzushi mtupu.
Acha ujinga. Hiyo bure unayoisema ni ipi ilhali wanamletea pesa kilasiku.Tumia akili dogo rasi. Kumbuka wanakaa bure. Kula bure. Kulala bure.
Hawa watu utaratibu wao wa kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka ndio matokeo yake hayo.Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Walemavu wanalipa sana, kuna mmoja alikwapuliwa kwa ahadi tamu tamu kaenda kuanikwa Nairobi huko.
Siku moja kama bahati tu kapita mtu anayemfahamu, unaambiwa alimrukia na kumng’ang’ania kwa machozi hadi amrudishe kijijini kwao.
Ndungu mchaga...naona unamtetea mchaga mwenzako...
.Kumbuka Dunia ya leo ulemavu waweza mpata yoyote..Kuna kisukari Watu wanakatwa miguu....
Kuna ajali... Unapenda Ndugu Zako wakuuze ...wakuanike juani pale mnazi mmoja asubuhi Hadi jioni...ukiomba Mia Mia...
Tunajua mnapenda pesa...lakini TUWE NA UTU....
Mi taino teinaaaMe 5 Tenor
Jasho na damu, halali na haramuHawa watu utaratibu wao wa kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka ndio matokeo yake hayo.
Kwasababu wakifika kule wanaanza kuoneshana magari ya kifahari pasipo kuonesha njia zilizopelekea kupata Mali hizo hiyo ndio inawapelekea watu wafanye ufulsika wote ili wakatambiane huko mwiso wa mwezi
Sasa mtu asie na UTU Ni mnyamaWachaga hawanaga utu kwenye pesa
itakuwa bajaji za kikuyu eh ?Huwezi Amini nilimpa...Nikapanda bajaji ya jero nikabaki na buku [emoji25]
Sadaka yangu Kuna mahala ntailekeza
Sasa kama wewe MJINGA MJINGA tatizo la nani?Ogopa sana mafanikio ya watu wawili
1. Mchaga
2. Muhindi
Hao watu janja janja sana
Nakuona MSUKUMA unarudisha hasira za kuuziwa sabuni ubungo badala ya simu.Pole bongo bahati mbayaHakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana