Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

ujasiria mali ni kipaji, juhudi, maarifa na kujituma. huyo sio wa kumshitaki anatakiwa aendelezwe ni mbunifu wa kuendelezwa hicho kipaji kisipotee. ungewapa watu hio guest wangesema hakuna biashara na wangefunga.
unaongea pumba za kuku au bata, maana huwezi ukawa na akili timamu ukasema huu ni ubunifu.
 
Ndio maana mimi ni mgumu sana kumpa hela omba omba
Suala la Hawa ndugu zetu lina changamoto sana.siku hizi huwezi kugundua ombaomba mkweli ni yupi na tapeli ni yupi.unaweza ukawa unawasaidia kwa nia njema kumbe unamtajirisha mtu mwingine au ukaacha kusaidia kumbe aombae ana shida kweli kweli.!!!
 
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
Ww ndio wale wale kwahy unaona sahihi alichofanya si ndio
 
Iiyo guest house naijua ipo mtaa ulionilea tangu yanki,uyo mama tuseme ukweli alichokua anafanya ni biashara haramu,chumba kimoja anaweka magodoro chini wanawekwa mule watu wenye ulemavu hata sita just assume kila mmoja analipishwa elfu kumi per day,sio haramu iyo ilihali kulala guest ni elfu kumi kwa me na ke au ke pekee yani mwisho wawili wa jinsia tofauti,

Cha msingi awarudishie pesa zao zote kulingana na muda waliokua apo kila mmoja alafu ndo kesi ya msingi ya kulaza watu xaid ya watatu ktk chumba cha guest
 
Naam
 

Dadake Ummi kamvamia!!! Usicheze na Nderianangaas! na bado kabisa.
 
Punguza chuki na wivu,njoo nikupe kazi
 
Endelea na hekaya hizo hizo watu wanaendelea na maisha
 
Wakati nakua nilikuwa namuheshimu sana mchaga na nilikuwa nawaona hard workers kweli. Ila kwa kadri umri unavyosonga na nilivyoishi nao na kufanya nao kazi nimejifunza mengi sana.
Zubaa uachwe feri
 
Hiyo ni nzuri kuliko ile ya kwenu ya kulogana mtu anapofanikiwa
 
Wewe mchaga ukiacha wizi na ujambazi una kipi cha kujivunia mkuu, siku zote hakuna pesa tamu kama ile uliyoitafuta kwa jasho. Nyie na show off zenu huko vijijini mnaenda kwa jeuri ya utapeli na dhuluma siku zenu zina hesabika.
Acha ushamba,uhalifu unafanywa na watu wote hata kwenu usukumani uhalifu upo mwingi tu
Kwahyo usione maghorofa ya vijijin UCHAGANI ukadhani sio ya halali pole gosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…