Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Dah!! Kikubwa tuendelee kujituma tu, maana giza ni nene.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaongea pumba za kuku au bata, maana huwezi ukawa na akili timamu ukasema huu ni ubunifu.ujasiria mali ni kipaji, juhudi, maarifa na kujituma. huyo sio wa kumshitaki anatakiwa aendelezwe ni mbunifu wa kuendelezwa hicho kipaji kisipotee. ungewapa watu hio guest wangesema hakuna biashara na wangefunga.
Wewe kabila gani??Wachagga nawaogopaga kama UKOMA!
Suala la Hawa ndugu zetu lina changamoto sana.siku hizi huwezi kugundua ombaomba mkweli ni yupi na tapeli ni yupi.unaweza ukawa unawasaidia kwa nia njema kumbe unamtajirisha mtu mwingine au ukaacha kusaidia kumbe aombae ana shida kweli kweli.!!!Ndio maana mimi ni mgumu sana kumpa hela omba omba
Ww ndio wale wale kwahy unaona sahihi alichofanya si ndioTumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
Sawa sawa mcheza baikoko wa mkuranga tumekusikiaHakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana
Hahahawahaya kujeni huku muone
NaamPost nyingi za kijinga humu.
Kwanza kisheria hakuna kosa kuwapangisha hapo kuna siasa uchwara
Serikali imefanya nini kuwasaidia walemavu hata huko wanakotoka?
Wapo wengi wanaokaa makanisani na misikitini asubuhi wanaingizwa mitaani waziri nenda na huko kawatandike viboko masheikh, wachungaji na mapadre.
Hakuna mlemavu anaelazimishwa ila ni kwa hiari yao tena wanafurahia kupata ahueni ya maisha.
Huyo mama apongezwe wakati serikali ikitafuta suluhisho ka kudumu kwa walemavu.
Lawama hapa Kwa serikali na Shukrani Kwa mama anaewasaidia walau kupata rizki.
Wajinga endeleeni kukurupuka.
Wewe unatafuta kupitia nini?Hawa watu kweli wanatafuta pesa kwa kila mbinu.
1. Kupitia vyama vya siasa
2. Kupitia walemavu
3. Kupitia wizi
4. Kupitia ujambazi
5. Kupitia kitimoto
6. Kupitia wizi wa kalamu
7. ............
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Punguza chuki na wivu,njoo nikupe kaziMama mwenye nyumba wangu mstaafu wa bandari alikuwa na apartment tano, mashamba bagamoyo, na miradi mingine.
Ila muda wote tunakaa pale kumbe kafanya illegal connection ya maji na umeme. Tunamlipa yeye hadi siku walipomgundua. Tukajiuliza mama huyu ana shida gani?
Au utapeli upo kwenye DNA ya hili kabila?
Endelea na hekaya hizo hizo watu wanaendelea na maishaKusema ukweli SIJUI wachaga huko Moshi hua wanawaleaje Hawa watoto Wao?
Mbona wengi Ni waenda kanisa katoliki wazuri...
Kupenda pesa Sio kosa..HAKUNA asiependa
Ila Kutafuta pesa kwa njia ambazo haijalishi anaeumia Ni Nani, iwe dhulma,wizi, kuuwa..na mfanowe..
Kwanini wapo hivi?..
Zile story za mangi mashona viatu anakuja kuwa tajiri kwa kudunduliza pesa..Kumbe usiku ni MAJAMBAZI WAKUBWA.
Zubaa uachwe feriWakati nakua nilikuwa namuheshimu sana mchaga na nilikuwa nawaona hard workers kweli. Ila kwa kadri umri unavyosonga na nilivyoishi nao na kufanya nao kazi nimejifunza mengi sana.
Hiyo ni nzuri kuliko ile ya kwenu ya kulogana mtu anapofanikiwaHawa watu utaratibu wao wa kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka ndio matokeo yake hayo.
Kwasababu wakifika kule wanaanza kuoneshana magari ya kifahari pasipo kuonesha njia zilizopelekea kupata Mali hizo hiyo ndio inawapelekea watu wafanye ufulsika wote ili wakatambiane huko mwiso wa mwezi
We we una utu kwenye pesa?Wachaga hawanaga utu kwenye pesa
Hakuna mtu mwenye kambaKila mtu ula urefu wa kamba yake
Acha ushamba,uhalifu unafanywa na watu wote hata kwenu usukumani uhalifu upo mwingi tuWewe mchaga ukiacha wizi na ujambazi una kipi cha kujivunia mkuu, siku zote hakuna pesa tamu kama ile uliyoitafuta kwa jasho. Nyie na show off zenu huko vijijini mnaenda kwa jeuri ya utapeli na dhuluma siku zenu zina hesabika.
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?