Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

ujasiria mali ni kipaji, juhudi, maarifa na kujituma. huyo sio wa kumshitaki anatakiwa aendelezwe ni mbunifu wa kuendelezwa hicho kipaji kisipotee. ungewapa watu hio guest wangesema hakuna biashara na wangefunga.
unaongea pumba za kuku au bata, maana huwezi ukawa na akili timamu ukasema huu ni ubunifu.
 
Ndio maana mimi ni mgumu sana kumpa hela omba omba
Suala la Hawa ndugu zetu lina changamoto sana.siku hizi huwezi kugundua ombaomba mkweli ni yupi na tapeli ni yupi.unaweza ukawa unawasaidia kwa nia njema kumbe unamtajirisha mtu mwingine au ukaacha kusaidia kumbe aombae ana shida kweli kweli.!!!
 
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
Ww ndio wale wale kwahy unaona sahihi alichofanya si ndio
 
Iiyo guest house naijua ipo mtaa ulionilea tangu yanki,uyo mama tuseme ukweli alichokua anafanya ni biashara haramu,chumba kimoja anaweka magodoro chini wanawekwa mule watu wenye ulemavu hata sita just assume kila mmoja analipishwa elfu kumi per day,sio haramu iyo ilihali kulala guest ni elfu kumi kwa me na ke au ke pekee yani mwisho wawili wa jinsia tofauti,

Cha msingi awarudishie pesa zao zote kulingana na muda waliokua apo kila mmoja alafu ndo kesi ya msingi ya kulaza watu xaid ya watatu ktk chumba cha guest
 
Post nyingi za kijinga humu.
Kwanza kisheria hakuna kosa kuwapangisha hapo kuna siasa uchwara
Serikali imefanya nini kuwasaidia walemavu hata huko wanakotoka?
Wapo wengi wanaokaa makanisani na misikitini asubuhi wanaingizwa mitaani waziri nenda na huko kawatandike viboko masheikh, wachungaji na mapadre.
Hakuna mlemavu anaelazimishwa ila ni kwa hiari yao tena wanafurahia kupata ahueni ya maisha.
Huyo mama apongezwe wakati serikali ikitafuta suluhisho ka kudumu kwa walemavu.
Lawama hapa Kwa serikali na Shukrani Kwa mama anaewasaidia walau kupata rizki.
Wajinga endeleeni kukurupuka.
Naam
 
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.

Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.

My take:

Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.

Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.

Dadake Ummi kamvamia!!! Usicheze na Nderianangaas! na bado kabisa.
 
Mama mwenye nyumba wangu mstaafu wa bandari alikuwa na apartment tano, mashamba bagamoyo, na miradi mingine.
Ila muda wote tunakaa pale kumbe kafanya illegal connection ya maji na umeme. Tunamlipa yeye hadi siku walipomgundua. Tukajiuliza mama huyu ana shida gani?
Au utapeli upo kwenye DNA ya hili kabila?
Punguza chuki na wivu,njoo nikupe kazi
 
Kusema ukweli SIJUI wachaga huko Moshi hua wanawaleaje Hawa watoto Wao?

Mbona wengi Ni waenda kanisa katoliki wazuri...
Kupenda pesa Sio kosa..HAKUNA asiependa
Ila Kutafuta pesa kwa njia ambazo haijalishi anaeumia Ni Nani, iwe dhulma,wizi, kuuwa..na mfanowe..

Kwanini wapo hivi?..
Zile story za mangi mashona viatu anakuja kuwa tajiri kwa kudunduliza pesa..Kumbe usiku ni MAJAMBAZI WAKUBWA.
Endelea na hekaya hizo hizo watu wanaendelea na maisha
 
Wakati nakua nilikuwa namuheshimu sana mchaga na nilikuwa nawaona hard workers kweli. Ila kwa kadri umri unavyosonga na nilivyoishi nao na kufanya nao kazi nimejifunza mengi sana.
Zubaa uachwe feri
 
Hawa watu utaratibu wao wa kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka ndio matokeo yake hayo.
Kwasababu wakifika kule wanaanza kuoneshana magari ya kifahari pasipo kuonesha njia zilizopelekea kupata Mali hizo hiyo ndio inawapelekea watu wafanye ufulsika wote ili wakatambiane huko mwiso wa mwezi
Hiyo ni nzuri kuliko ile ya kwenu ya kulogana mtu anapofanikiwa
 
Wewe mchaga ukiacha wizi na ujambazi una kipi cha kujivunia mkuu, siku zote hakuna pesa tamu kama ile uliyoitafuta kwa jasho. Nyie na show off zenu huko vijijini mnaenda kwa jeuri ya utapeli na dhuluma siku zenu zina hesabika.
Acha ushamba,uhalifu unafanywa na watu wote hata kwenu usukumani uhalifu upo mwingi tu
Kwahyo usione maghorofa ya vijijin UCHAGANI ukadhani sio ya halali pole gosha
 
Back
Top Bottom