Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?

Hakuna cha kuishi wala kula bure, wanaingiza faida zaidi ya hiyo... hao ni bidhaa dukani hazikai bure.

Ukiona boss anamlisha vinono ng’ombe wake usidhani ng’ombe huyo ndo mnufaika!!
 
Sometimes baadhi ya wachaga walio wengi hawana utu na ni wajinga sana.
 
Usiseme ukamaliza ndugu.....

Wachaga ni Watu kama Watu wengine...wana yao mapungufu kama sisi wengine tulivyo na mapungufu

Si vema...kosa la mmoja kukusanya wote

Kuwa makini dogo
Jifunze adabu ya kuongea mbele za Watu
Ila wamezidi khaaaa[emoji57][emoji57][emoji57]

Punguzeni, ndo maana stone anawashindilia jiwe[emoji28]
 

Zembwela long time alikuwa anaongelea ili swala kwamba wale wanaoomba omba ni biashara ya mtu ,yule anayesukuma utamkuta mtu "MBAVU NENE" ambaye anaweza akafanya kazi na kumtunza huyo MLEMAVU lakini iweje awe anamsukuma tu!!
 
Guest houses zimekosa wateja analaza walemavu
 
Mbona hueleweki
Kwani wee NI mmoja wao was waliopewa hifadhi na leonida swai?
Binafsi sijakuelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…