ngoja nijitolee mimi mfano unielewe vizuri, kuna manzi mmoja nilipanga nae appointment mbili akazichomoa zote na akatoa visingizio vyake sasa siku moja akaniambia Leo nipo free kama anahitaji tuonane tunaweza kuonana siku hiyo hiyo nilikuwa nina mishe fulani ya haraka inaweza kunipa laki 3.5 kwasababu niliona hii nafasi aliyonipa huyu manzi nikimtolea nje sitopata nafasi tena so nikaona hiyo mishe niipige chini siku hiyo iwe kwaajili ya huyo manzi tu nilimtumia nauli 10k wote sisi ni watu wa dar basi nikuwa namsubiri imepita muda hajatokea nikaona nimpigie simu akapokea kama kawaida ananipa hope anakuja na muda unaenda nikajua labda anataka nilale nae kabisa atakuja usiku sana haa wapi siku iliisha hivyo.