Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Wadada wa sahivi hata akiniomba vocha ya TSH 500 na sijawahi kumla, sharti aje aichukulie gheto, hataki kuja, kama ni mahusiano kuisha, yaishe Cute Wife[emoji23][emoji23][emoji23] Afu ukiliwa nauli ndo unakamilika sasa!! Unakua master Shivo hutishwi na chochote