Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Wanaume mnapitia mengi 😆😆😆😆
Ila wengine waongo humu hata hela ya kutuma hamna mnatupa story za uongo
Wanawake nyie wengi wenu mkitongozwa na wanaume msiowataka mnakuwa na mindset za kitapeli, zinafanya hadi sometime mkose misaada, pale kweli mnapokua na shida ya hela

Sitoi msaada hata wa TSH 1000 kwa mdada ninaemtaka na Hajawahi kunipa papuchi, kwenye kunipa papuchi ananizungusha Half nitoe hela bure ili unifanye boya lako io haipo, nipe nikupe, kuwa mwema kwangu nami nitakuwa mwema kwako Missy Gf
 
Nilimtumia nauli kaja ghetto nikatoka kununua chips kuku na konyagi kubwa(baba lao) na bia nikarudi mageto. Tumekula huku tunaangalia movie.

Pombe zikamzidi ikabidi tukalale nikaona kumla mlevi alo poteza network noma acha nitamkula alfajiri. Naamka naona bed ipo wet kinyama kumbe madame kakojozi, mzuka ulikata asubuhi nikamwabia potea kojozi wewe[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rafiki yangu huwa anasema kuliwa nauli ni kujitakia unakuta demu unamuuliza kutoka dodoma hadi mtwara nauli shiling ngapi anakujibu elfu 45 nawewe unaituma hiyohiyo wakati kiuhalisia inabidi utume 120000 na yeye tangu ndio mfumo anaoutumia na hajawahi kupigwa nauli,safari moja alimtoa demu ngara mpaka mtwara nauli iliyokatajwa ilizidishwa mara mbili
 
Sema huna hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida sio kua na hela au kutokuwa na hela, swala ni kwamba sitaki kufanywa boya..kuna siku mfukoni na kwenye simu nilikuwa na 1 million tshs isiokuwa na majukumu, nlimfata mdada mmoja, nikamtongoza akawa ananiringia, hee si akaniomba TSH 1000, nikamwambia nitampa ngoja nikafuate chenji, nilimkimbia mazima, tulivokutana tena aliniangalia vibaya kama vile nimekimbia na hela yake Cute Wife
 
Mwenye pesa bro hana mizunguko yote hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Una million ushindwe kutoa buku?? Hii chai imekosa sukari
 
Mbna apo jamaa mm nimemuelwa anachsem. Swala ni mentality yake kwamb hataki kuonkn boy( hatk kwend kihasar yye ni MTU wa nipe nikupe) watu wa ain Ile huwa wapo Yan kuliwa mia wanaon hasara ila kweNy Ang za nipe ni kupe hata 1k anatoa.
NAWASIRISH KWA UPOLE ZAID
 
Wanawake nyie wengi wenu mkitongozwa na wanaume msiowataka mnakuwa na mindset za kitapeli, zinafanya hadi sometime mkose misaada, pale kweli mnapokua na shida ya hela

Sitoi msaada hata wa TSH 1000 kwa mdada ninaemtaka na Hajawahi kunipa papuchi, kwenye kunipa papuchi ananizungusha Half nitoe hela bure ili unifanye boya lako io haipo, nipe nikupe, kuwa mwema kwangu nami nitakuwa mwema kwako Missy Gf
Mwanaume mwenye hela anajulikana tu na wala haoni uchungu kutoa kwa mtu anayempenda
 
Mbna apo jamaa mm nimemuelwa anachsem. Swala ni mentality yake kwamb hataki kuonkn boy( hatk kwend kihasar yye ni MTU wa nipe nikupe) watu wa ain Ile huwa wapo Yan kuliwa mia wanaon hasara ila kweNy Ang za nipe ni kupe hata 1k anatoa.
NAWASIRISH KWA UPOLE ZAID
Upewe maua yako mkuu
Na tuko wengi saiv wa aina iyo
 
S
Alikula nauli ya kuja Moro toka dar nikampasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo nimemtuma mimi
Safi, aliuza cheni bandia kakutana na fedha bandia. Atakoma kula nauli za watu. Watoto wa mjin wanasema mbwa kala mbwa
 
Wengine waliliwa mwaka jana

1693728046375.png
1693728046375.png
 
Back
Top Bottom