Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Mbona unakwepa sasa?!! Nikupe namba uweke mzigo kesho niwahi Dar? [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kuna vitu unapiga sa hii[emoji23][emoji23][emoji23]

Tutoke huku kidogo aisee, twende pembeni
 
Naona kuna vitu unapiga sa hii[emoji23][emoji23][emoji23]

Tutoke huku kidogo aisee, twende pembeni

[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna kitu nilitaka nikuchekeshe leo afu nikapotezea

Niko kwenye novena wala sipigi chochote
 
Mchaga mmoja alituma nauli net Hakuna hata ya kula njiani…. Nikaona hii ni maajabu kabisaaaa

Hela nilikulaa na sikutokeaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila jua siku akikuweka kwenye 18 zake atacheza na line zote 2
 
Mmeshau na wale wa kodi ya chumba, gesi na umeme.....hawa wanakuwa wanalenga kupiga parefu zaidi, kwa sasa demu akitaka nauli ni buku ya bodaboda tu mabaharia lazima kutia akili kichwani.
 
Enzi hizo sijafocus kwenye puli kuna Ile Afu salasini na nane na miatano niliyoituma akaila na kuzima simu, inaniumaga mpaka leo. Lakini,Aisee lile Tako lilinichanganya akili [emoji1787][emoji1787]. Halafu nilivyokuwa jingajinga mwenye UPWIRU nikaja nikatuma afustini nyingine na yenyewe akaila [emoji1787][emoji1787]



Sasa hivi ni single mother, ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake. Halafu kanenepa kama simtank [emoji1787][emoji1787]. Akinionaga analia sana, mpaka anapiga magoti yaani ananitia aibu sana mbele za watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ankal muongo hakuna cha kurogwa wala nini anatutisha tyuuuu!!!

Kuna mmoja nilimlia nauli alijilalamisha mpk nikamtumia nusu ya muamala wake, tugawane hasara [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh ishawahi nitokea hiyo
 
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
Acheni ubahili tutumieni nauli hizo hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wkt ule tulikua tunatumia yahoo messenger, hotmail, kuna hi5! Nikakutana na wanigeria nikapewa bonge la dili kumbe wananiingiza chaka bhana. Mwishoni kbs kuna documents inabidi ni-download, kumwita jamaa wa internet cafe ndo akaniokoa. Hapo noshatumia sana hela.
Sasa hawa wa fb labda nimpe tu sio anitapeli!
 
Alikula nauli ya kuja Moro toka dar nikamoasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo ni mimi
Duh so vizuri
 
Back
Top Bottom