Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Duh [emoji3] ukamuacha ulimwengu umfunze
 
Mimi nilimtumia Demu nauli 50K Asubuhi inafika mchana analeta Visingizio Kibao mara nimepata msiba wa Ghafla afu ndio ilikuwa first day aje, Nikachungulia Muamala nkakuta bado hajatoa Nikaurudisha, Aiseee yule malaya alilaumu sana
Ulijiongeza vzr [emoji41]
 
[emoji3] udenda wa mzee sio
 
Umetisha

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Alikula nauli ya kuja Moro toka dar nikampasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo nimemtuma mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3]
Umenikumbusha Mbali nilishawahi liwa nauli na pisi mbili tu tofauti, kiukweli iliniuma sn ile moment baada ya kugundua nmepgwa changa la macho mkuu

Tangu pale haijawah ntokea tena maana nipo makini kinoma na Hv viumbe vinavyobleed kila mwez
Yani ni hatarii unaweza kuw na pesa nying lakin kuliwa ten(ie kudhulumiwa) ni inauma kweli(Kwa sauti ya magufuli)
 
Ratiba za kwenda kujilipa elfu 10 yake? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hizo ni nyege zinawasumbua
ngoja nijitolee mimi mfano unielewe vizuri, kuna manzi mmoja nilipanga nae appointment mbili akazichomoa zote na akatoa visingizio vyake sasa siku moja akaniambia Leo nipo free kama anahitaji tuonane tunaweza kuonana siku hiyo hiyo nilikuwa nina mishe fulani ya haraka inaweza kunipa laki 3.5 kwasababu niliona hii nafasi aliyonipa huyu manzi nikimtolea nje sitopata nafasi tena so nikaona hiyo mishe niipige chini siku hiyo iwe kwaajili ya huyo manzi tu nilimtumia nauli 10k wote sisi ni watu wa dar basi nikuwa namsubiri imepita muda hajatokea nikaona nimpigie simu akapokea kama kawaida ananipa hope anakuja na muda unaenda nikajua labda anataka nilale nae kabisa atakuja usiku sana haa wapi siku iliisha hivyo.
 
Mzee baba Hapo ulizingua pakubwa kwenye dili ungeenda na ungempanga siku nyingne fresh tu
 

Pole sana, lkn mpk unaacha deal la laki 3s hizo ni nyege uliziendekeza! Hapo ilitakiwa umwambie huna muda hata km ulikua nao, uone km hakujileta mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana, lkn mpk unaacha deal la laki 3s hizo ni nyege uliziendekeza! Hapo ilitakiwa umwambie huna muda hata km ulikua nao, uone km hakujileta mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunajifunza kutokana na makosa
 
Sitosahau nilivyomtumia nauli member wa humu jf tuonane pale maeneo ya mabibo hostel.... Nilisubiri Sana akadai foleni imemkwamisha kumbe ndo tayari nauli ilishaenda hivyo, na ilikua 20k
Ilibaki kidogo nimpigie maxence mello tugawane hasara
Yan nilivliwag nikawa najion kama vile ni miongn mwa mafal wachche wanaoliwag kumbe tuko wengi aseeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…