Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Ukiliwa halafu ukapaniki,anashtuka.Ulimvuta kitaalam sana.
 
Kuna mwamba alifanyiwa vetting... aisee,hadi yeye mwenyewe akashindwa kujua yalifahamikaje
 
[emoji1][emoji1]
 
Nilituma nauli elf 10 mwezi machi katikati demu aje Mbeya mjini akitokea makambako. Alipofika nikamuelekeza lodge akaja na room kaingia. Usiku saa mbili anaomba yeye alale chini yaani atandike blankets kisa hayupo tayari Kwa mchezo. Hapo nilishaghalamia vi senti kadhaa vya matumizi akiwa huko na hiyo siku ilikua ni burudani tu. To make long story short, huyo Dem sikumla mpaka asubuhi aligoma. Nilijaribu Kila mbinu olishindikana na asubuhi nikampa nauli ya kurudi na Hela za matumizi jumla kama 50k. Alipotoka niliblock kila sehemu tusiwasiliane Tena.
Jana katumia sim ya rafiki yake anaomba Hela ya siku kuu nilicheka Kama mazuri. Nyie nauli zinauma na mwanamke ukiaminiwa aminika.
 
Daaah nikiunganisha tukio, uandishi wako asee wew jamaa utapigwa saan huo ni mwanzo tu had mtot wa makambako anakuzid akili πŸ˜‚
 
Apo kweny kumpa nauli asubuhi mjomb ulizngua
 
Daaah nikiunganisha tukio, uandishi wako asee wew jamaa utapigwa saan huo ni mwanzo tu had mtot wa makambako anakuzid akili πŸ˜‚
Mzee Ata akiwa wa wap akishkuwa mzur ni rahis sana kukfnya ndez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…