Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
π€£Hahahahaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kutumia manzi nauli ili nile mbususu...π€£Huu ni uongooooo!
Ila huwa unatuma ili?Sijawahi kutumia manzi nauli ili nile mbususu...π€£
Ndo alotumiwa MOBETO NA RICK ROSS,, Yaani hiyo lazima uliweHapo wengine unakuta katuma pesa kubwa elfu 10 lkn kelele nyingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wenzao wanaotuma nauli ya flight tuwaweke wapi?
Zigo jumla jumla unamanish kuoa?Mimi nililiwa nauli lakini akaniunganishia kwa rafiki yake nimekula mpaka nimenogewa sasa hivi sina namna inabidi nichukue zigo jumla jumla. Mtoto tumeelewana sana. Mpaka leo namshukuru aliyenilia nauli.
Ndio kuoa mkuu wala hana shida maana tumeshakaa kwenye relationship muda mrefu na nimeshamsoma. Hana shida na wala sio nilikuwa kila akija nampa hela wala nini.Zigo jumla jumla unamanish kuoa?
Kama ndo ivo mbn inkaa kama uyo dem Malaya ivi
we jamaa nimecheka kama fala yan ππNauli yangu hailiwi bure.. Lazima nikuroge! Nimewaroga sana halafu nimewarogea gundu la kimavi
Nilituma ili aje tule nyama choma..π€£π€£Ila huwa unatuma ili?
Naomba nauli mkuu.
Huyo dem doooh ππ sema wanajua kupanga matukio bas tu akili zao za kijinga bila kufikiria anampanga nan ndo huwaponzaMimi alikula nauli elfu 20 halafu akazima simu. Kaja kuwasha baada ya siku tatu.
Kumuuliza sababu eti anajibu alivyoenda kutoa ela kwa wakala ghafla simba wakaanza kucheza, hivyo akaona hata akija hakuna litakalofanyika.
Nikamuuliza kwanini alizima simu akajibu system chaji ilikufa na betri la kiswaswadu aliliweka vibaya panya wakalila. Hivyo amesharekebisha kwahyo nimtumie tena nauli aje! Alikula block nikaishia kumla besti ake ambae mpaka sasa hivi najipigia tu.
Mwana ngu nae alipigwa laki akala block akachukua cm yngu kupiga ikaita bila kupokelewa then na yenyewe ikala blockmimi alikula nauli afu akaniblock
inauma sana.
Sister πππ daaahIla wanaume buanaaa πππππ€£π€£π€£π€£ naul za fb nilikula sanaaaaaa,Kama kuroga basi watakuwa wameniloga vya kutosha tena watu wa zanzibar haaaaaπ€£π€£π€£ππππ asanten sanaaaa nilikula mpka laki 3 na hakuwah kuniona yeyote,et Mahal ivi unamtolea mtu Mahal usiye mjua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakuja kuzoa bibi zen
Ndo alotumiwa MOBETO NA RICK ROSS,, Yaani hiyo lazima uliwe
Sidhani Kama Kuna mwanaume ambaye hajaliwa nauli
nauli ya kutoka muchas pale mpaka iyunga nakosajeπ sema nilituma liten siunajua ile uonekane kidume