Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Hapo wengine unakuta katuma pesa kubwa elfu 10 lkn kelele nyingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui wenzao wanaotuma nauli ya flight tuwaweke wapi?
Ndo alotumiwa MOBETO NA RICK ROSS,, Yaani hiyo lazima uliwe
 
Hakuna secret service MJINGA na MPUMBAVU namna hii wa kuanzisha nyuzi za KIWAKI na za KIMASIKINI KIMAWAZO! ndomana vetting huwa si za mchezomchezo na zenye usiri mkubwa sana mpaka kumpata mtu ambaye anakwenda kuwa "OFFICIALLY SECRET SERVICE"kiasi kwamba hata muhusika hajui for years yuko under observation.

WACHA KUTUMIA HILO JINA KAMA UNAJUA WE NI MJINGA WA MAISHA!

Wacha muendelee kutawaliwa na kulialia hampati ajira na mmesoma kumbe wasomi uchwara VICHWANI ZERO KABISA!
 
Mimi alikula nauli elfu 20 halafu akazima simu. Kaja kuwasha baada ya siku tatu.

Kumuuliza sababu eti anajibu alivyoenda kutoa ela kwa wakala ghafla simba wakaanza kucheza, hivyo akaona hata akija hakuna litakalofanyika.

Nikamuuliza kwanini alizima simu akajibu system chaji ilikufa na betri la kiswaswadu aliliweka vibaya panya wakalila. Hivyo amesharekebisha kwahyo nimtumie tena nauli aje! Alikula block nikaishia kumla besti ake ambae mpaka sasa hivi najipigia tu.
Huyo dem doooh 😀😀 sema wanajua kupanga matukio bas tu akili zao za kijinga bila kufikiria anampanga nan ndo huwaponza
 
Ila wanaume buanaaa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 naul za fb nilikula sanaaaaaa,Kama kuroga basi watakuwa wameniloga vya kutosha tena watu wa zanzibar haaaaa🤣🤣🤣😂😊😂😂 asanten sanaaaa nilikula mpka laki 3 na hakuwah kuniona yeyote,et Mahal ivi unamtolea mtu Mahal usiye mjua.
Sister 😆😆😆 daaah
 
Back
Top Bottom