Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Unataka kutuambia huyo aliona wenge lako.au?
 
We ndo umepotea unazn kila MTU anatak ajira? Kwendra ukoo
 
We ndo umepotea unazn kila MTU anatak ajira? Kwendra ukoo
Kwani secret service sio muajiriwa mzalendo?! Unajitekenya unacheka mwenyewe, tunatamani kuyaishi maisha tunayojinadi tunayo na ukiona mtu kajipa jina ndivyo alivyo, anatamani kuwa hivyo au ndo maisha anayoyaishi we kalagabaho!

Na Ulivyoandika "kwendra" nna wasiwasi utakuwa "CHOKO" wewe πŸ€”

Case closed! Sibishani na MASHOGA..
 
Tafut Hela uach makasriko
 
πŸ™†πŸ™†πŸ™†Kila tundu
 
Mtumie nyingine uwe baba wa mtoto wa tatu, [emoji16][emoji16][emoji16] saivi atakuja
 
Huwa ana kwambia analia nini?
 
Me ticket nilikua sitaki nataka nikaweke booking mwenyewe ko itumwe pesa, yeye nitampa taarifa lini naenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inakua imelala yoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hivi nimekua nimeacha
Umeacha wapi, wakati we ndio unatuma saivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…