Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Nimeshatuma nauli mpka 100k haijawahi liwa madem wanaangalia wenge lako limekaaje haiwezekani mtu kakupa namba leo kesho unamuomba picha za uchi ni ushamba fulani. Na nilishachoma wese na pikipiki toka kigamboni hadi mbagala na kurudi alafu mtoto anafika geto anaanza kuleta mapozi hataki kutoa chupi nikajaribu kulazimisha akawa anapiga kelele dah alinikata stimu sana nikamtoa nikaenda kumuacha njiani na mvua akaliwe na wengine huko. Ila nilikereka kuchoma wese asee iende irudi njia nzima anajua tunaenda kulana anafika miyeyusho dah
Unataka kutuambia huyo aliona wenge lako.au?
 
Hakuna secret service MJINGA na MPUMBAVU namna hii wa kuanzisha nyuzi za KIWAKI na za KIMASIKINI KIMAWAZO! ndomana vetting huwa si za mchezomchezo na zenye usiri mkubwa sana mpaka kumpata mtu ambaye anakwenda kuwa "OFFICIALLY SECRET SERVICE"kiasi kwamba hata muhusika hajui for years yuko under observation.

WACHA KUTUMIA HILO JINA KAMA UNAJUA WE NI MJINGA WA MAISHA!

Wacha muendelee kutawaliwa na kulialia hampati ajira na mmesoma kumbe wasomi uchwara VICHWANI ZERO KABISA!
We ndo umepotea unazn kila MTU anatak ajira? Kwendra ukoo
 
We ndo umepotea unazn kila MTU anatak ajira? Kwendra ukoo
Kwani secret service sio muajiriwa mzalendo?! Unajitekenya unacheka mwenyewe, tunatamani kuyaishi maisha tunayojinadi tunayo na ukiona mtu kajipa jina ndivyo alivyo, anatamani kuwa hivyo au ndo maisha anayoyaishi we kalagabaho!

Na Ulivyoandika "kwendra" nna wasiwasi utakuwa "CHOKO" wewe 🤔

Case closed! Sibishani na MASHOGA..
 
Tafut Hela uach makasriko
 
Hilo wao hawalitambui, kuna malaya alinilia hela 40k, nkamuuliza ushakata tiket akanijibu amepata udhuru hata kuja kuna msiba kwao ghafla, nkapiga mahesabu asishtukie kuwa nimeshtuka kama ni tapeli. Nikampa pole nkamwambia hata hivyo nami nimebanwa kazini.

Sikuonesha kupanick jioni yake nkamtumia 20k ya pole kwa masiba na kumpeti peti, demu akazidi kunielewa. After 5 days nkamtumia 50k. Akajaa akaanza kujibebisha, yeye mwenyewe akaomba appointment, alivyofika nkamtoa out vinywaji sana mwenyewe anakunywa Mtakatifu Anne, taratibu ikaanza kumlegeza.
Kufika machinjioni nilimfanya kila tundu, na siku anarud nilimkatia tiket nkamwambia ntamrushia pesa kwa cm ya kula njian. Hakua hata na mia ya kula safarini.
🙆🙆🙆Kila tundu
 
Enzi hizo sijafocus kwenye puli kuna Ile Afu salasini na nane na miatano niliyoituma akaila na kuzima simu, inaniumaga mpaka leo. Lakini,Aisee lile Tako lilinichanganya akili [emoji1787][emoji1787]. Halafu nilivyokuwa jingajinga mwenye UPWIRU nikaja nikatuma afustini nyingine na yenyewe akaila [emoji1787][emoji1787]

Sasa hivi ni single mother, ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake. Halafu kanenepa kama simtank [emoji1787][emoji1787]. Akinionaga analia sana, mpaka anapiga magoti yaani ananitia aibu sana mbele za watu
Mtumie nyingine uwe baba wa mtoto wa tatu, [emoji16][emoji16][emoji16] saivi atakuja
 
Enzi hizo sijafocus kwenye puli kuna Ile Afu salasini na nane na miatano niliyoituma akaila na kuzima simu, inaniumaga mpaka leo. Lakini,Aisee lile Tako lilinichanganya akili [emoji1787][emoji1787]. Halafu nilivyokuwa jingajinga mwenye UPWIRU nikaja nikatuma afustini nyingine na yenyewe akaila [emoji1787][emoji1787]

Sasa hivi ni single mother, ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake. Halafu kanenepa kama simtank [emoji1787][emoji1787]. Akinionaga analia sana, mpaka anapiga magoti yaani ananitia aibu sana mbele za watu
Huwa ana kwambia analia nini?
 
Me ticket nilikua sitaki nataka nikaweke booking mwenyewe ko itumwe pesa, yeye nitampa taarifa lini naenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inakua imelala yoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hivi nimekua nimeacha
Umeacha wapi, wakati we ndio unatuma saivi.
 
Back
Top Bottom